Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma: