Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nia ovu kwa kipimo cha kiccm!Hawana Nia ovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nia ovu kwa kipimo cha kiccm!Hawana Nia ovu
Kwa sababu kongamano lenu mmetangaza kabisa litakuwa na shari. Viongozi wenu wa Bavicha wanatangaza shari.Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Kwahili uko sahihiHao polisi,wanafuata amrita ya watawala,ulitaka wafanye nini kama wamemrishwa wafanye hivyo?
Muda mwingine tunawalaumu hawa polisi as if hatujui mifumo ya hii nchi.
Ma-RPCs wanateuliwa na viongozi wa serikali ambayo ni CCM,unadhani atabisha akipewa maelekezo kutoka juu?
Huoni akikataa inamaana anaundiwa zengwe anatolewa kwenye hiyo post,anawekwa anayewatii?
Tusiwalaumu,hao polisi ila tuangalie mfumo.
Polisi wengi wakiongozwa na baadhi ya RPC ni waerevu SanaAngalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Unaongea PUMBA.Nia ovu ya Machadema,Lisu kudai atashiriki maandamano kwani yeye ni Kijana? Imewakata hatutaki uhuni.
Yaani hao polisi,wana familia zao,na wategemezi wengi tu,sasa washapewa amri kua wawazuie CHADEMA wasifanikishe jambo Lao,we unadhani watafanyaje?Polisi wengi wakiongozwa na baadhi ya RPC ni WAPUMBAVU Sana
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Viongoz wa police ni makada wa ccm askari wa chini wanashurutishwa TUAngalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Huko juu ni wapi!!Hao polisi,wanafuata amrita ya watawala,ulitaka wafanye nini kama wamemrishwa wafanye hivyo?
Muda mwingine tunawalaumu hawa polisi as if hatujui mifumo ya hii nchi.
Ma-RPCs wanateuliwa na viongozi wa serikali ambayo ni CCM,unadhani atabisha akipewa maelekezo kutoka juu?
Huoni akikataa inamaana anaundiwa zengwe anatolewa kwenye hiyo post,anawekwa anayewatii?
Tusiwalaumu,hao polisi ila tuangalie mfumo.
Wewe unadhani Bavicha wanaandamana Kwa Nia gani?Unaongea PUMBA.
CCM wanahusikaje? Ni intelijensia ya PolisiNia ovu kwa kipimo cha kiccm!
Yaani wateule wao,ndo wanaowapa kazi ya kukataza shughuli hizo.Huko juu ni wapi!!
Ni nani huyo aliyepo juu anayetoa maelekezo!!??
Yaani anayemteua na anayeweza kumuondoa RPC(Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wowote hapa nchini) ni mwana,-CCM ambaye ni Rais na IGPCCM wanahusikaje? Ni intelijensia ya Polisi
Msiumie mioyo! Washindi ni chadema maana kwa ujinga wa polisi hawajui wamepiga promo kubwa sana kwa chadema.Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Polisi acheni kukandamiza ChademaAngalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
Andiko lako ni la kipumbavuwamezuia kwasabb ya viashiria Kamili vya kihalifu vilivyo kua na nia ovu ya kuhatarisha amani na kuvuruga shushuli na biashara za watu 🐒
kongole nyingi sana kwa Jeshi imara la police nchini, kwa kuditect wahalifu hao na kuwadhibiti mapema kabla ya kuleta madhara, uharibifu na usumbufu kwa wananchi 🐒
Rais anamteua IGP, RPC anateuliwa na IGPAnayemteua RPC ni nani?
Kama ni Rais,huyo Rais hana mamlaka ya kumtengua asipofuata maagizo?
Angalia tena unachokikataa.