Bangi zilezile; hata siku moja moja huwezi kupumzika akili zikatulia kidogo?hata hiyo mihemko kwenye kuambiwa ukweli, ikiwa inakusaidia ongeza juhudi zaidi ufaidike...
Jeshi la polisi nchini mpaka sasa limeshadhibiti genge la wahalifu walikukusudia kuleta fujo, na bado linaendelea na doria maeneo mbalimbali ili kulinda amani na usalama wa watu, biashara na makazi yao....
naendelea kukusihi wew na wananchi wengine kujiepusha na magenge ya uhalifu popote nchini ili kuepuka usumbufu na athari mbalimbali zinaweza kuwaletea madhara 🐒