Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako

Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi







Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba

Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa



Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao



Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile



Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?

Pia soma:
 
Nia ovu ya Machadema,Lisu kudai atashiriki maandamano kwani yeye ni Kijana? Imewakata hatutaki uhuni.
 
Hao polisi,wanafuata amrita ya watawala,ulitaka wafanye nini kama wamemrishwa wafanye hivyo?
Muda mwingine tunawalaumu hawa polisi as if hatujui mifumo ya hii nchi.
Ma-RPCs wanateuliwa na viongozi wa serikali ambayo ni CCM,unadhani atabisha akipewa maelekezo kutoka juu?
Huoni akikataa inamaana anaundiwa zengwe anatolewa kwenye hiyo post,anawekwa anayewatii?
Tusiwalaumu,hao polisi ila tuangalie mfumo.
 
Jeshi la polisi liko kwa mujibu wa sheria na sio kufuata matakwa ya wanasiasa.
Wanajua na wana jijua wanatumika, is why heshima yao kwenye jamii inazidi kuporomoka day and night sababu hii

Katiba katiba katiba
Anayemteua RPC ni nani?
Kama ni Rais,huyo Rais hana mamlaka ya kumtengua asipofuata maagizo?
Angalia tena unachokikataa.
 

Kk jeshi ni kufuata amri tuuh ya serikal ilikuwa madarakani kwa mujibu wa katiba sasa serikali ni CCM na wao hawataki kutoka madrakani lazima watumie dola kubaki madrakani so mm sijaona jeshi wankosa gani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…