Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kk jeshi ni kufuata amri tuuh ya serikal ilikuwa madarakani kwa mujibu wa katiba sasa serikali ni CCM na wao hawataki kutoka madrakani lazima watumie dola kubaki madrakani so mm sijaona jeshi wankosa gani hapo
Watashindana hawatashinda.......wamechelewa. Chadema hairudi nyuma.
 
wamezuia kwasabb ya viashiria Kamili vya kihalifu vilivyo kua na nia ovu ya kuhatarisha amani na kuvuruga shushuli na biashara za watu 🐒

kongole nyingi sana kwa Jeshi imara la police nchini, kwa kuditect wahalifu hao na kuwadhibiti mapema kabla ya kuleta madhara, uharibifu na usumbufu kwa wananchi 🐒
 
Uvccm wangetoboa mbele ya Bavicha?

Wameona aibu......hata hivyo Bavicha bado wana lead 3 bila mpaka sasa.
 
 
Uvccm wangetovoa mbele ya Bavicha?

Wameona aibu......hata hivyo Bavicha bado wana lead 3 bila mpaka sasa.
Jeshi la polisi lipo imara kukabiliana vilivyo na wahalifu wa aina zote, na halitasita kuchukua hatua kali dhidi ya yeyote anae hatarisha amani popote nchini 🐒

epuka kufuata mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…