Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
unamzungumzia chairman MBOWE ambae hadi vice chairman anambwekea bwekea kwa kujificha, right?πŸ’
Mbowe kaingiaje hapa tena? Nazungumzia huyo anayekupeleka chooni kila siku. Tafuta njia nyingine ya kukuwezesha kwenda huko.
 
Mbowe kaingiaje hapa tena? Nazungumzia huyo anayekupeleka chooni kila siku. Tafuta njia nyingine ya kukuwezesha kwenda huko.
kaingia kama ulivyoingia mti wenye matunda ndio hupondwa na mawe,ama?🀣
 
Nikisema wewe ni chizi ni wazi kabisa kutokana na akili yako inavyo fanya kazi; kama ilivyo fanya hapa.
mihemko na kuyaporomosha si ndicho unachoweza gentleman,

na si uongeze bidii sasa mbona unajibana sana 🀣
 
Nia ovu ya Machadema,Lisu kudai atashiriki maandamano kwani yeye ni Kijana? Imewakata hatutaki uhuni.
mambo ya kihuni tu, kongamano la vijana akina lissu mnyika sugu wanafuata nini? halafu hivi hawajamaa hawajui kinachoendelea congo? hiyo surua ya nyani ikija bongo situtakwisha wakiwemo na wao
 
mihemko na kuyaporomosha si ndicho unachoweza gentleman,

na si uongeze bidii sasa mbona unajibana sana 🀣
Mimi na wewe tu,. Hakuna namna. Machizi kama nyinyi mmezoea sana kuwanyanyasa waTanzania. Hatutawaacha.
 
Ccm mtoto wa ndoa wa serikali, Act mtoto wa nje ya ndoa wa serikali. Chadema mtoto yatima mzururaji mtaani
 
Mimi na wewe tu,. Hakuna namna. Machizi kama nyinyi mmezoea sana kuwanyanyasa waTanzania. Hatutawaacha.
hayupo mtanzania ataathirika au kutatizika katika kazi na shughuli za kujipatia kipato,

jeshi la police liko imara kupambana na aina zote za uhalifu na kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani,

hao gen z wakatafute mahali pengine pa kuvuruga amani lakini sio Tanzania, hasa hii ambayo inaongozwa na comrade Dr. Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Kila siku mna waathiri waTanzania kwa hujuma mbalimabli mnazozifanya, halafu mnageuka nyuma na kuwahadaa na kuwakebehi!
Hii ni Tanzania ya hao vijana mnayo iharibu; halafu unakuja hapa na bange zimekujaa akilini kuhimiza "watafute mahali pengine"? hawa vijana hawana wajomba huko nje.
 
criminals must be accountable for their crimes,

police force in Tz will never ever tolerate any offensive acts or plans that endengers the peace and stability of the country,

hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya ujambazi wowote unaokusudiwa kufanyika mbeya au maeneo mengine πŸ’
 
Wanafanya ubaguzi
 
nd stability of the country,

hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya ujambazi wowote unaokusudiwa kufanyika mbeya au maeneo mengine
EEEeeeeenHEEEEEeeeh!
Ni kama umekaririshwa hayo maneno na yule polisi Haji? Sadam na Gadafi walikuwa na lugha hizo kali sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…