Nikifeli mimi mwenye akili timamu; wewe chizi utajuwa?unafeli sasa,
umechoka au huna hoja na wakati umedai ulikua mapumzikoni 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikifeli mimi mwenye akili timamu; wewe chizi utajuwa?unafeli sasa,
umechoka au huna hoja na wakati umedai ulikua mapumzikoni 🐒
unamzungumzia chairman MBOWE ambae hadi vice chairman anambwekea bwekea kwa kujificha, right?🐒Mti wenye matunda ndio hupondwa mawe
Mbowe kaingiaje hapa tena? Nazungumzia huyo anayekupeleka chooni kila siku. Tafuta njia nyingine ya kukuwezesha kwenda huko.unamzungumzia chairman MBOWE ambae hadi vice chairman anambwekea bwekea kwa kujificha, right?🐒
naona unafanya mazoezi ya kuyaporomosha sasa 🤣Nikifeli mimi mwenye akili timamu; wewe chizi utajuwa?
Bangi zikipungua kichwani pumzika.naona unafanya mazoezi ya kuyaporomosha sasa 🤣
kaingia kama ulivyoingia mti wenye matunda ndio hupondwa na mawe,ama?🤣Mbowe kaingiaje hapa tena? Nazungumzia huyo anayekupeleka chooni kila siku. Tafuta njia nyingine ya kukuwezesha kwenda huko.
kabisa, wakati bara hata kuvaa chupi hawajui zanzibar ilikuwa na dola yakeZanzibar ni Nchi iliyokuwepo kabla ya Tanganyika
Nikisema wewe ni chizi ni wazi kabisa kutokana na akili yako inavyo fanya kazi; kama ilivyo fanya hapa.kaingia kama ulivyoingia mti wenye matunda ndio hupondwa na mawe,ama?🤣
mihemko na kuyaporomosha si ndicho unachoweza gentleman,Nikisema wewe ni chizi ni wazi kabisa kutokana na akili yako inavyo fanya kazi; kama ilivyo fanya hapa.
mambo ya kihuni tu, kongamano la vijana akina lissu mnyika sugu wanafuata nini? halafu hivi hawajamaa hawajui kinachoendelea congo? hiyo surua ya nyani ikija bongo situtakwisha wakiwemo na waoNia ovu ya Machadema,Lisu kudai atashiriki maandamano kwani yeye ni Kijana? Imewakata hatutaki uhuni.
Mimi na wewe tu,. Hakuna namna. Machizi kama nyinyi mmezoea sana kuwanyanyasa waTanzania. Hatutawaacha.mihemko na kuyaporomosha si ndicho unachoweza gentleman,
na si uongeze bidii sasa mbona unajibana sana 🤣
prof wajakoya katuharibia watoto east africa yote, sijui tufanyeje?Bangi zikipungua kichwani pumzika.
Usilete upumbavu hapa. Ondoka zako. Hujui nafanya kazi gani hapa na huyo.prof wajakoya katuharibia watoto east africa yote, sijui tufanyeje?
hayupo mtanzania ataathirika au kutatizika katika kazi na shughuli za kujipatia kipato,Mimi na wewe tu,. Hakuna namna. Machizi kama nyinyi mmezoea sana kuwanyanyasa waTanzania. Hatutawaacha.
Kila siku mna waathiri waTanzania kwa hujuma mbalimabli mnazozifanya, halafu mnageuka nyuma na kuwahadaa na kuwakebehi!hayupo mtanzania ataathirika au kutatizika katika kazi na shughuli za kujipatia kipato,
jeshi la police liko imara kupambana na aina zote za uhalifu na kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani,
hao gen z wakatafute mahali pengine pa kuvuruga amani lakini sio Tanzania, hasa hii ambayo inaongozwa na comrade Dr. Samia Suluhu Hassan 🐒
criminals must be accountable for their crimes,Kila siku mna waathiri waTanzania kwa hujuma mbalimabli mnazozifanya, halafu mnageuka nyuma na kuwahadaa na kuwakebehi!
Hii ni Tanzania ya hao vijana mnayo iharibu; halafu unakuja hapa na bange zimekujaa akilini kuhimiza "watafute mahali pengine"? hawa vijana hawana wajomba huko nje.
Wanafanya ubaguziAngalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma:
criminals must be accountable for their crimes,
EEEeeeeenHEEEEEeeeh!nd stability of the country,
hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya ujambazi wowote unaokusudiwa kufanyika mbeya au maeneo mengine