🤣 Gen Z wa mbeya wako kama maharage yao, barabara nyeupe hata bodaboda hazipiti, wenzao mabomu ya machozi walikuwa wanavuta ka shishahayupo mtanzania ataathirika au kutatizika katika kazi na shughuli za kujipatia kipato,
jeshi la police liko imara kupambana na aina zote za uhalifu na kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani,
hao gen z wakatafute mahali pengine pa kuvuruga amani lakini sio Tanzania, hasa hii ambayo inaongozwa na comrade Dr. Samia Suluhu Hassan 🐒
napozungumza na kutoa tahadhari juu ya uhalifu popote nchini huwa sina mzaha na wala sitanii...EEEeeeeenHEEEEEeeeh!
Ni kama umekaririshwa hayo maneno na yule polisi Haji? Sadam na Gadafi walikuwa na lugha hizo kali sana!
Wewe ndiye mdomo wa yule kilaza Masabuni? Najuwa upo karibu naye. Mweleze hana kitu kichwani. Historia yake inajulikana vizuri.napozungumza na kutoa tahadhari juu ya uhalifu popote nchini huwa sina mzaha na wala sitanii...
hakuna kitu muhimu kama amani ndrugu zango, na kuilinda hiyo lazima kujitolea kukabiliana bila huruma na ujambazi kama huo hao wanaojiita gen z wanataka kufanya,
haikubaliki na wala haivumiliki tabia hiyo mbaya ya kudeka deka 🐒
wanatoka nduki,🤣 Gen Z wa mbeya wako kama maharage yao, barabara nyeupe hata bodaboda hazipiti, wenzao mabomu ya machozi walikuwa wanavuta ka shisha
Unazungumzia "uoga"?wanatoka nduki,
halafu wanajificha na kuwachungulia polisi wakiwa wamejibanza ndani ya vibanda umiza vya kuonyesha mechi, wakiulizwa wanafanya nini, eti wanasema wanacheki movie🤣
uoga ni umaskini wa kutupwa aise...
actually ni kama historia yako tu ya mihemko, ghadhabu na kuyaporomosha mazito mazito tena kwa mpangilio umeyapanga kichwani 🤣Wewe ndiye mdomo wa yule kilaza Masabuni? Najuwa upo karibu naye. Mweleze hana kitu kichwani. Historia yake inajulikana vizuri.
Unaweza kuiita chochote unacho penda, lakini fahamu kwa watu wa aina yako, sina simile nao kabisa. Mnakuja hapa ukumbini kwa dharau kubwa, kuwachokonoa tu waTanzania wanaotaka haki zao; halafu unajiona wewe ni mtu mwenye akili na heshima?actually ni kama historia yako tu ya mihemko, ghadhabu na kuyaporomosha mazito mazito tena kwa mpangilio umeyapanga kichwani 🤣
mie siwezi kungoja wala kusubiri ndoto za alinacha,Unazungumzia "uoga"?
Ngoja mitutu ya bunduki itakapo ondolewa mikononi mwenu, hapo ndipo utakapojuwa uoga ni kitu gani.
Kha Sugu ndo amekuwa wakukodi macoaster kutoka Dar kweli, kashindwa kujaza uwanja? kaenda kuomba msaada makao makuu, sugu wa wakati ule alikuwa anafunga mtaa kwa singeli, leo wanabeba watu na macosta kwenda mbeya,Unazungumzia "uoga"?
Ngoja mitutu ya bunduki itakapo ondolewa mikononi mwenu, hapo ndipo utakapojuwa uoga ni kitu gani.
Nenda kawatumikie wapumbavub kama wewe, siyo waTanzania.mie siwezi kungoja wala kusubiri ndoto za alinacha,
nitaendelea daima kuwaongoza, kuwatumikia na kuwatetea wananchi kwa weledi mkubwa dhidi ya manyanyaso, udanganyifu au uonevu kutoka kwa wahalifu kama hao gen z wenzio huko mbeya 🐒
hakuna muhalifu atafua dafu mbele ya polisi dhidi ya amani ya waTanzania 🐒
Kama unafanya 'booking', leo hapana, ngoja nimalizane na hiki kiazi kinachokutangulia wewe.Kha Sugu ndo amekuwa wakukodi macoaster kutoka Dar kweli, kashindwa kujaza uwanja? kaenda kuomba msaada makao makuu, sugu wa wakati ule alikuwa anafunga mtaa kwa singeli, leo wanabeba watu na macosta kwenda mbeya,
Sugu akubali kila nyakati na zama zake, lissu nayeye sijui anajiona bado kijana?
binafsi siwezi babaika na smile yako au ya mwingine,Unaweza kuiita chochote unacho penda, lakini fahamu kwa watu wa aina yako, sina simile nao kabisa. Mnakuja hapa ukumbini kwa dharau kubwa, kuwachokonoa tu waTanzania wanaotaka haki zao; halafu unajiona wewe ni mtu mwenye akili na heshima?
EEEeeeeenHEEEEEEeeee!binafsi siwezi babaika na smile yako au ya mwingine,
jitahidi zangu zote ni kuhakikisha mwanainchi amesmile, yale muhimu anayapata kwa uhakika bila mbambamba yoyote...
daima niko chonjo, nimejipanga na niko rada mbaya sana na hawa wananchi wananipenda sana aise sijui kwanini na wakat mimi naona nafanya mambo kawaida tu 🐒
mliwadhihaki na kuwatukana wananchi vivyo hivyo tena kwa sauti ya juu sana,Nenda kawatumikie wapumbavub kama wewe, siyo waTanzania.
Mkuu usihangaike na hawa vijana wajinga, ni masikini wanaolipwa, wako kazini, atakupotezea muda tuUnazungumzia "uoga"?
Ngoja mitutu ya bunduki itakapo ondolewa mikononi mwenu, hapo ndipo utakapojuwa uoga ni kitu gani.
unachovuta ndicho daima unachofikiria 🤣EEEeeeeenHEEEEEEeeee!
Kama siyo bangi hizi zinazo kuharibu akili, itakuwa ni kitu gani kingine isipokuwa uchizi!
Hadaa zote za mwanzo zimekwisha julikana. Hakuna tena namna ya kuwadanganya waTanzania. Bunduki zetu tutazichukua na kuzielekeza kwenu mkifanya kiburi.mliwadhihaki na kuwatukana wananchi vivyo hivyo tena kwa sauti ya juu sana,
aise!
hawa wananchi huwa hawasahau bana dah, jimboni kwangu kwa mfano kuna vituo hadi uwakala watu hawataki kusikia hiyo chama yenu 🤣
kwahivyo endeleeni kuwatukana, kuwadharau, kuwadhihaki na kuwaita wananchi majina yote mabaya, hawana shida, wanaskia na wanayapokea but wanajua pa kuwanyoosha 🤣
pwagu na pwaguzi mnapeana matumaini sio 🤣Mkuu usihangaike na hawa vijana wajinga, ni masikini wanaolipwa, wako kazini, atakupotezea muda tu
Unajuwa, huyu siyo kijana.Mkuu usihangaike na hawa vijana wajinga, ni masikini wanaolipwa, wako kazini, atakupotezea muda tu