🤣 Gen Z wa mbeya wako kama maharage yao, barabara nyeupe hata bodaboda hazipiti, wenzao mabomu ya machozi walikuwa wanavuta ka shishahayupo mtanzania ataathirika au kutatizika katika kazi na shughuli za kujipatia kipato,
jeshi la police liko imara kupambana na aina zote za uhalifu na kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani,
hao gen z wakatafute mahali pengine pa kuvuruga amani lakini sio Tanzania, hasa hii ambayo inaongozwa na comrade Dr. Samia Suluhu Hassan 🐒