Kwanini jirani zangu hawanichangamkii?

nimejifunza jambo , kujenga nyumba unafanya sherehe je ungefanya mradi mkubwa si ungefuga mtaa,nina jirani zangu hapa mmoja ni mchaga dah huyu ni mshamba sana aliponunua kiwanja akawa analeta rafiki zake kuwaonyesha, mke wake mashauzi kweli mara wapige picha kwenye kiwanja, alipoanza kujenga nasikia akawa anatamba ntajenga nyumba ya moto mtaa mzima, alichojenga sasa mara kapaulia bati ya mama mjane, dirashani kafunga karatasi dah wabongo, huyu wa pili sasa naye ni bwana mifugo flan na mkewe bi mifugo basi kajamaa sijui ni kutoka familia duni, hata hajahamia kaisha korofishana na majirani anawatuhumu kumwibia material , jumba alilojenga ni hidden roof na ukikosea kulijenga unakuwa sijui umejenga nini halipendezi , wabongo nyumba si mafanikio miaka hii ni mamuzi jaman kujenga au kutojenga
 
Huijui tu furaha ya kumiliki NYUMBA yako kijana narudia tena kumiliki NYUMBA yako sijui unaelewa ww
 
Yaani mi hujaniarika kwenye shughuli halafu nijilete tu?
Hata kama ingekuwa milango inatazamana, hutaniona ng'oo.
Acha dharau mkuu! Washirikishe hata kwenye mchakato ama sivyo potezea kabisaaa hadi mwisho
 
Yaani mi hujaniarika kwenye shughuli halafu nijilete tu?
Hata kama ingekuwa milango inatazamana, hutaniona ng'oo.
Acha dharau mkuu! Washirikishe hata kwenye mchakato ama sivyo potezea kabisaaa hadi mwisho
Sio dharau hii haikuwa harusi ndo nifanye kuwaalika watu hivyo
 
Mkuu ukihamia sehemu salimia wawili watatu kama una sherehe wakaribisha hao wawili watatu huku ukiwaambia wanaweza karibisha wengine ambao haujaweza onana nao ili mfahamiane zaidi
dada unabusara sana.natamani uwe dada wa hiari
 
Huijui tu furaha ya kumiliki NYUMBA yako kijana narudia tena kumiliki NYUMBA yako sijui unaelewa ww
mimi nimeisha jenga nyumba zangu 3, nina viwanja na nimerithi nyumba moja but sijawahi kuona kama ni kitu special kiasi hicho, kila mtanzania anayefanya kazi anauwezo wa kujenga , wewe unakuwa unafurahia nini , jamaa wewe utakuwa ni mtumishi wa umma na mwajiriwa wa serikali(TAMISEMI) maana ndio wenye mawazo haya kama yako
 
Daah ni kweli Mkuu sema umeniponda sana mazee ngoja nibadilishe ili karatasi la chumbani naona ndio linakukera sana...kujenga uzeeni ni shida sana ni sawa na kununua gari uzeeni mkuu watoto wanapewa adhabu kwa sababu ya gari wanatamani lisingenunuliwa...
 
Kama mpaka unaanzisha Uzi huu haujaligunduwa kosa lako basi una matatizo ya akili, Fanya haraka ucheki afya yako ya akili.
 
ah
ah kufunga karatasi sio shida mzee wa isanga, ilolo, nk shida ni unachukuliaje vitu vya kawaida ,one day yes utafanya finishing ,
 


Ukiujua ulimwengu, ukawajua na walimwengu kuna vitu hutokaa ufanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…