Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Kuna mtaa niliwahi amia, sasa kuna barabara mbili za kuingia home, moja inapita kati kati ya nyumba na ndo nikawa napita, siku ya tatu nikakuta mashimo marefu yamechimbwa tena usawa wa matairi [emoji3], nilicheka tu nikapiga rivasi nikapita kwingine.
Kwahiyo mzee kama huna altenative ya kufika kwako kazi unayo, kuna siku wataweka magogo hiyo njia. Waswahili watu wa ajabu sana.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mzee kama huna altenative ya kufika kwako kazi unayo, kuna siku wataweka magogo hiyo njia. Waswahili watu wa ajabu sana.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app