Kwanini jirani zangu hawanichangamkii?

Kuna mtaa niliwahi amia, sasa kuna barabara mbili za kuingia home, moja inapita kati kati ya nyumba na ndo nikawa napita, siku ya tatu nikakuta mashimo marefu yamechimbwa tena usawa wa matairi [emoji3], nilicheka tu nikapiga rivasi nikapita kwingine.

Kwahiyo mzee kama huna altenative ya kufika kwako kazi unayo, kuna siku wataweka magogo hiyo njia. Waswahili watu wa ajabu sana.


Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
halafu mke wa jamaa anatoka isanga huko, no
Wewe ni muhaya?
na mimi nimehisi huyu bwana ni mhaya , au mzaramo na lazima ni mwajiriwa wa serikali maana ndio wenye mawazo kama haya
 
Huijui tu furaha ya kumiliki NYUMBA yako kijana narudia tena kumiliki NYUMBA yako sijui unaelewa ww
jamaa kwa hiyo ukafanya bonge la sherehe ukiambiwa taja mafanikio yako mzee utakuwa unasema mimi namiliki nyumba kazaa hapa mjini , hasa ikitokea umejenga kiwanda utachinja hadi ngombe na kuangusha bonge la party , ah nyie Tanzania nchi ngumu hii
 
halafu mke wa jamaa anatoka isanga huko, no

na mimi nimehisi huyu bwana ni mhaya , au mzaramo na lazima ni mwajiriwa wa serikali maana ndio wenye mawazo kama haya
 
Kwa maelezo yako kiburi ndicho kinakusumbua jifunze ww sio wa kwanza kumiliki chochote kizuri hapa duniani na sikuhiz hakuna anaezamia kwenye sherehe ya mtu ww kama uliweza alika ndugu majirani ulishindwa? Ingekua ww ungeenda bila kuambiwa karibu. Unaweza ona una misimamo yako una ishi maisha yako lakini haiko hivyo kiburi kama hujielewi kinafanana sana na misimamo kwahiyo chambua maisha yako kwanza alafu ishi vizuri na watu.
 
Na ww nae wale wale kiburi hakiwaachi salama
 
Majirani wanavijicho sana hao kawamalizie kwa mwapo.. chukua na maji kabisa uwakomeshe vizuri..🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…