Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

mishahara ya walimu inalingana na sekta nyengine nyingi na wala sio midogo kama wanavyodai. hao jamaa ni watu wakulialia sana, ni moja ya watu wanaojiona maspecial sana lakini ni zero brain
 
Matumizi mabaya ya rasilimali na fedha za umma ndio chanzo kikuu cha serikali kuto kuwa na uwezo wa kuwalipa walimu vizuri.
Ajabu ni walimu hao hao wako mstari wa mbele kuhakikisha utaratibu huu unakuwa endelevu kwa kuunga mkono rushwa na ubadhirifu.

EBU ONA HII
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania.
Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)
Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)
Posho kitako — Sh220,000 (siku)
Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)
Mkopo gari — Sh90M (5yrs)
Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)
Malipo ya mafuta, katibu na derevaPosho ziara za mafunzo ughaibuni
Posho za vikao kamati & seminaMkopo mkubwa – dhamana ubunge
Bima ya afya kwa familia, BURE
Passport hadhi ya kibalozi, BURE
Mshahara hauna makato yoyote.Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii

Kwamba walimu kwa kazi yao na na mazingira magumu ya kufanya kazi,
wao ndio walitakiwa kutokuwa na kodi kwenye mapato yao.
 
Taasisi nyingi tu za serikali zina mishahara ya kawaida tena nyingi wanatumia Salary scales za TGS ambapo kwa walimu wanatumia TGTS, deference ni ndogo mno kati ya TGS na TGTS,... Issue ni kwamba nature ya kazi ya ualimu clients wako hapo hapo hapo ulipo so hakuna safari za mara kwq mara ambazo ndo zina hela (per diem); ualimu hauna extra duty au honoraria coz nature ya kazi ni kama vile unatakiwa kufanya masaa yote (refer Mwalimu wa zamu au wa chakula). Taasisi zingine hasa za serikali kuu kama vile wizarani wana kazi nyingi sana ambazo zinawatoa nje ya kituo cha kazi mara kwa mara. Na kwa faida ya uchache wao ni rahisi kuwalipa extra duty/ honoraria. Sasa Mzee we achilia mbali walimu, watumishi ambao wako chini ya TAMISEMI ni wengi sana so ukisema uwalipe kama wa serikali kuu nchi inafirisika ndani ya mwezi mmoja tu kwasababu nchi hii haizalishi kabsa na na raia plus wafanyabiashara hawalipi kabsa kodi. Kodi na uzalishaji wa kiuchumi ndo kila kitu kwenye nchi yoyote ile. Hilo linawezekana kama nchi ina mapato ya kutosha, kila mtu analipa kodi, wafanyabiashara wanalipa kodi stahiki, tukiweza kua na viwanda vingi vinazalisha bidhaa na biashara zinafanyika, kwa kifupi shughuli za uzalishaji wa kiuchumi zikiimarishwa jumlisha na matumizi sahihi ya rasilimali tulizonazo kila kitu kinawezekana kabsa, mbona Ulaya wanaweza kuwalipa walimu mishahara mizuri tu na kuufanya ualimu kua moja ya kazi zinazoheshimika na zenye mishahara mizuri kabsa?!
 
nyingi sana, tena asiwaringanishe na waalimu, wana mshahara wa kawaida hata mwalimu anawazidi, but wana fursa zinazowabeba sana, kama kuachiwa vitip tip kibao na customers, mdogo angu ni teller, anakwambia per day sometimes anaweza kuondoka hata na 500k tips tu, sasa jiulize anakusanya sh napi mwezi mzima? sababu pia ye ni teller wa kudeal na watu wazito
Kila siku 500k hata km awe teller anayehudumia watu wa wizara, huu ni uongo.
Mdogo ako anadanganya, Lol
 
IMG-20240612-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom