Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Kama hao ndio brain behind Gang basi hicho kinachoitwa Gang ni nadharia isiyokuwa na uhalisia !
 
Kwahiyo unataka kututhibitishia ya kwamba sasaafuta yatashuka bei angalau kwa jero? Ngoja nisubiri!
 
Dr. Chamuriho ni mwalimu mzuri tu UDSM - CoET.. bora arudi akapige zake mapindi huko maana anahitajika sana huko kuliko kwenye siasa kwa sasa.
 
Mama ana safari 2025??? 😃😃🤣🤣🙄🙄😁😁
 
Acha uongo mafuta yamepanda na yataendelea kupanda sababu ya kodi zilizowekwa kwenye mafuta.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama chifu hangaya Lazima nitengue watu maana nisingeliweza kutengua bila chifu booster
 
Nadhani hata lile bomba la mafuta watu walilojiunganishia lilikuwa la Kalemani na genge la sukuma gang. Ndio maana habari zake zikawa siri maana taarifa ingewekwa wazi ingeleta picha mbaya.
 
Axis of Evil ..... Lazima wasafishwe. Kuendelea nao ni hatari kwa Maza.

Mwendazake aliwapiga chini akina Ngeleja kwa sababu wangemdumbua.
 
Sisi kanda ya ziwa tunachukulia hii issue kama discrimination against watu wa lake zone na off course January hawezi kuwa bora kuliko Dr. Medard. Tutakutana 2025. Huo uHangaya kama mnadhani ni wa kiukweli you will get to know that you were conned during the next elkection. Matogoro was the best minister ever. Unampigia hakufahamu na anapokea simu na kuifantia kazi hapo hapo. He was so good na amefanya kazi kwa nguvu zake zote. Tukutane 2025.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 

NAFANYA KAZI NA WATU WANAOJUA BAYA NA JEMA SINA MDA WA KUROPOKA KWA WATU WAZIMA TUTAMALIZANA KWA
###KALAMU#####
KAMA ULISIKIA HILI NENO NA BADO UKAULIZA HIKIKITUKO UNA SHIDA
 
Hawa wakubwa huenda Wana mkandokando au ni wababaishaji,wenye kupenda kutumia media, lakini katika hali halisi hakuna lolote
 
Kama huyo mwendazake mnakiri alikuwa na mtandao wake.. kwann na mama asiunde wake?!!
Mnaumiaje
 
Si kweli Dr. Chamuliro alitokea Tanroads. Ni mhadhiri wa UDSM. Sijui nini kimetokea
 
Labda kwa ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…