Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Saada Mkuya the food of pipo
 
Makamba alipinga mradi wa bwawa la umeme la JHPP kwa kisingizio cha mazingira leo ndio anakwenda kusimamia ujenzi. Mbarawa aliitwa Mpumbavu na JPM hadharani

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Makamba kama anataka asahaulike kwenye ulimwengu wa siasa, akausimamishe ule mradi. Kuna vitu vianza kuvizima sijui utazimaje
 

Huyu huyu aliyekuwa anafunga watu hovyo hovyo? Tena kwa kuwaonea bila sababu? Kwanini alituletea shida ya kupanda bei za mafuta?
 
Wewe kwenye ile saccos ya Gaidi ni bendera fuata upepo tu. Mkereketwa njaa kali
mimi ni mfadhili wa Chadema , natoa pesa zangu kuhakikisha Tanzania inapata uhuru , sikumbuki mwaka niliokuwa na njaa , ni tajiri ambaye nina makazi africa na America
 
Kuteua na kutengua ni prerogative ya rais. Hayo mengine mawazo yako mradi asimteua mumewe kama M7 alivyomteua mkewe na bado hakuvunja sheria.
 
Huyu kalemani ndo aliekuwa anawaambia wafanyakazi wa tanesco kuwa atawaingilia tu watake wasitake na bila kujali nani wala nani yeye atawaingilia tu.
 
Dr. Chamuriho ni mwalimu mzuri tu UDSM - CoET.. bora arudi akapige zake mapindi huko maana anahitajika sana huko kuliko kwenye siasa kwa sasa.
Hahaaa, kwa hilo sahau!!kwani ana shida gani hapo alipo tu kipato chake kwa mwezi kama mbunge ni zaidi ya *4, ya kaxi yake ya ualimu!!!bado miaka yake 5, mafao yake karibia milioni 250!!!
 
mimi ni mfadhili wa Chadema , natoa pesa zangu kuhakikisha Tanzania inapata uhuru , sikumbuki mwaka niliokuwa na njaa , ni tajiri ambaye nina makazi africa na America
😲🤣🤣🤣🤣

Uhuru....Uhuru upi huo zaidi ya 1961?!!!

Duuh wewe kweli una "OCD"....🤣
 
TUNASUBIRI MATOKEO CHANYA vinginevyo ....
 
Wewe kama ni chawa wa mtu huwezi kutuelewa , endelea na imani yako
Kwa hiyo wewe na Mbowe huyuhuyu aliyemsaliti Dr.Slaa na kubadilisha "gia" angani baada ya kujiwa na "mshenga Askofu Gwajima" ndio mnakwenda kutupigania UHURU ?!!

Mbowe huyuhuyu anayezungukwa na watu kama mbunge wa zamani ndg.Lema?!!!😲🤣🤣

Duuuh kweli wewe ni CHAWA PROMAX wa Mbowe na "cartel"....

Ha ha ha "obsessive compulsive disorders" hiziiii
 
Kalemani wa nini sasa. Mtu aliyehakikisha makao makuu ya mkoa wa Geita hayapati vitu vya kimkoa ila kupelekwa Chato tu. Chato kila kijiji kina umeme wakati maeneo mengine katika mkoa wa Geita hakuna. Hongera mama kwa kulamba kichwa cha Chato ili tusikie na mengine.
 

Marekebisho tafadhali:

1. Chamriho hakuwa Tanroads.
2. Kutokea mhadhiri udsm coet --> katibu mkuu miundo mbinu --> Mbunge wa kuteuliwa na mwendazake --> waziri miundo mbinu.

Huyu ni wa kanda pendwa, Sukuma gang kindaki ndaki. Uchafu mwingi wa mwendazake ulipitia huku. Alikuwa confidant wa mwendazake.

Kadhia ya malipo mara mbili mbili tanroads na mengi toka CAG na tanroads, bot na TPA yaweza kuwa zilimhusu. Pengine kadhia hizi ziliondoka na bingwa wa madaraja pia.

Huyu bwana, pole pole, bashiri katelefoni nk baba mmoja mama mmoja.



Wanabaki dotto, mjumbe wetu madagascar, Jose Mourinho na pia kule tsis.
 

Kwenye struggle kuna agenda ya kudumu lakini si marafiki wala maadui.

Chawa aeleweke vyema kwa kujifanya kuwa na mahaba ya kupitiliza. Kisa na mkasa kunyonya anakopata.
 
Watu makini wanaweza kutoa angalizo kwa Madam President kuhusu utenguzi wa mawaziri vipenzi wa hayati JPM. Ni vyema angewapangia majukumu mengine kabla kuanza kuibuka wingi wa manung'uniko kutoka kanda ile pendwa kwa nyakati hizo.

Mbali ya Chato, maeneo mengi ya kanda ya ziwa yalikuwa ndiyo kipaumbele cha JPM, jambo hilo lilimfanya aonekane shujaa wao. Alichagua mawaziri hawa kimkakati ili waweze kuwa karibu na watu wa kanda hii ili kuwaletea maendeleo.

Kanda hii ilianza kusikia viongozi wao wakiitwa "Sukuma Gang" na kushutumiwa vikali hata pale walipofanya makosa ya kawaida. Chochote kile walichokifanya kiwe chema ama kibaya, kikaanza kuonekana kama wanamkwamisha Mama kuelekea 2025.

Angalizo sasa ni kisije kutokea kile ambacho wengi hawatarajii. Ni kuhusu "sympathy" ya wananchi wa kanda hii juu ya viongozi wao kuanza kutengwa muda mfupi tu mara baada kifo cha JPM. Kanda hii inaweza kugeuka kuwa ndiyo ngome kuu na imara ya upinzani, na mwanzo wa kuelekea katika hitaji la siku nyingi la wapenda mabadiliko la kutaka kupigilia msumari wa mwisho katika jeneza la marehemu mtarajiwa CCM.
 
Rais anayajua mengi kuliko wewe namimi ndugu,

Kuna mengine juu yao yakisemwa adhalani tutabakia midomo wazi chief
 
yaani alipandisha bila ikulu kubariki???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…