Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Nadhani hata lile bomba la mafuta watu walilojiunganishia lilikuwa la Kalemani na genge la sukuma gang. Ndio maana habari zake zikawa siri maana taarifa ingewekwa wazi ingeleta picha mbaya.
Watu hawayajui hayo,wanabwabwaja tu
 
Mama alishasema mumpigie kura au msimpigie... Rais atatangazwa yeye...

Kwahiyo mangosha tulieni na wenzenu wafaidi keki ya taifa

Kutesa kwa zamu
 
Tanzania haijafikia hatua ya kuogopa kufanya maamuzi yenye maslahi ya Taifa kwa kuhofia ukanda au ukabila. Nyie watu wa kanda hiyo for sure mlikuwa mnaenda kuigawa nchi vipande vipande. Kwanini nyie mjione ni kanda isiyoguswa? No wonder mlianza kuibagua kanda ya kaskazini. Tambueni kwamba Rais wa Tanzania hataogopa kufanya maamuzi yenye maslahi ya Taifa kwa hofu ya kidini, ukanda, ukabila au jinsia.
 
Mambo magumu Sana haya,,,huenda ikawa japo 2025 itatoa majibu
 
Mwaka 2025 hatuwezi kuongozwa na wazanzibari. Yaani Mzanzibari atawale Zanzibar halafu tena Mzanzibari atawale Tanganyika, hilo halipo.
 
Mwanachato alijichanganya sana kufa halafu marafiki zake karibu wote nao wamekufa

Yaani kiuhalisia sijui kama kuna mtoto wake atakaepatiwa nafasi hata ya udiwani
Matajiri wale mkuu,udiwani tuwazie sisi
 
Ni kuvunja mtandao maana sidhani kama kunashida wote walikuwa na tarizo hiyo hapana
 
Akaunti za kalemani zifungwe
Hazikufungwa za akina Kalamagi,Tibajiuka,Chenge.ufunge account za Kalemani kaiba Nini?
Chuki na fitina zenu hazitawafikisha popote.
Hapana shaka hakuna utawala utadumu milele.
 
Dai katiba acheni majungu
 
Tulishawaonya hapa mara nyingi. Acheni dharau kwa Mama.

Bado wengine.
Tuliwaambia Simba akiwa anacheka na wewe habadiliki kuwa sungura. Kuweni makini.... Na washaambiwa hii ni comma sio full stop
 
Hakuna anachokifanya hapo hii ni sawa na miguu kuwa gerezani kichwa kipo mtaani panga pangua fanya awezavyo watu walishatambua haya mapema na wakajiandaa

Dawa pekee ya mama kueleweka ni yeye mwenyewe kuachia ngazi
 
Hazikufungwa za akina Kalamagi,Tibajiuka,Chenge.ufunge account za Kalemani kaiba Nini?
Chuki na fitina zenu hazitawafikisha popote.
Hapana shaka hakuna utawala utadumu milele.
Zilipofungwa za mbowe na wafanyabiashara ulishangilia
 
Kivipi mkuu mbona Bashiru Ally na mpayukaji Cyprian Musiba waliwahi kumtuhumu jasusi mbobezi Membe kuwa anataka kumkwamisha bwana hayati mwanachato
Si hii inatosha kuonesha ilivyo kuwa sio rahisi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…