Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Hahaaa, kwa hilo sahau!!kwani ana shida gani hapo alipo tu kipato chake kwa mwezi kama mbunge ni zaidi ya *4, ya kaxi yake ya ualimu!!!bado miaka yake 5, mafao yake karibia milioni 250!!!
Kwani Prof wa Chuo kikuu analipwa bei gani kwa mwezi ?
 
Lile genge lilitaka huyo Chamurika awe namba 1 mara baada ya kifo cha mwendazake wakidai kuwa nafasi ya no.1 ilikuwa ya bara, na sa100 abakie namba 2 maana hiyo ndiyo ilikuwa nafasi ya watu visiwani. Walimaliza mipango yote, na ndiyo ilikuwa sababu ya kusema hakuna msiba, jamaa anachapa kazi wakati alikwishajipumzikia kitambo. Walichelewa kusema ili wakamilishe mipango yao. Kisiki kilienda kukutwa kwa mabeyo ambaye alisema mimi na watu wangu tutamlinda atakayetokana na sheria. Ikawa mwisho wa mipango haramu.
 

Huko sahihi,,huyu jamaa kavuruga sana TANESCO,Huduma zimekua za ovyo tofauti na enzi za MUHONGO
 
Mizigo hiyo,vunja kabisa
 
Jose Mourinho, umeniacha, ndio nani?
 
Magufuli aliharibu utaratibu mzuri wa kidemokrasia wa wananchi kuchagua viongozi wao.
Kwa hiyo hata hao wananchi wa kanda ya ziwa wakasirike vipi hawana chochote cha kufanya kupitia sanduku la kura kwa kuwa demokrasia ya Tz iliuawa na Magufuli.

Na pia Magufuli amekufa na Samia sasa ndio Rais, ana haki ya kuweka viongozi anaowaona watamfaa kwa staili yake bila kuangalia kabila wala kanda ya mtu
 
Mbona liko wazi hilo, kale ka ndoto ka baba wa taifa, upinzani makini utatoka ndani ya ccm, je ni muda muafaka??? let us wait n see
 
Alaaa kumbe kulikuwa na mtandao wa mwendazake?? Sasa mbona mnakasirika mama akiunda mtandao wake?
Mtandao wa mwendazake maanayake ni Uzarendo sasa mama ana uondoa kuleta mtandao wa ufisadi
 
Zilikuja iptl, epa, dowans, richmund, escrow na sasa ni .... Coming soon!
 
Mama wala hatogombea 2025 ila anataka kuweka mtandao wake
Kwa nini asigombee 2025? Lazima atagombea ili kuleta heshima kwa akina mama. Na ni lazima atashinda uchaguzi mkuu wa 2025. Mwaka 2030 atamwachia mwanamke mwingine shupavu kushika nafasi hiyo nyeti ya urais kwa miaka mingine 10 hadi 2040. Naye ataachia mwanamke mwingine na kadhalika. Ni zami ya akina mama nao kujinafsi kama ambavyo wanaume walivyofanya tangia tupate uhuru. Haya mambo ni ccm tu ndiyo inayaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…