Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A

Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao jamaa watu wamalizane nao kwani walikuwa wabishi sana kusettle madeni kumbe ule ujanja wao walikuwa na sababu kujua wana janja janja uko hazina sasa mambo wazi mfumo umewaumbua kwani huwezi kufanya repayment
 
🔹 Kama hajajiunga saccos yoyote na haukopi saccos

🔹 Kama hata milango ya Benki zinazojulikana huzioni

🔵 Unajipeleka kwenye kitu kilichoandikwa " MICROFINANCE" ambazo riba zao Wana kufanganya kwa kukuambia ya mwezi badala ya mwaka.na tena unachukua huko mkopo wa miaka 9 na unafanya top up huko huko

🚮 Wewe huna miaka 5 kitu kiitwacho " magonjwa ya afya ya akili " kinakuhusu
 
Ni sahihi, lazima atakawa na shida ya AKILI. Yaani unakopa Kabisa maboto huku una akili zako timamu kweli? Aiseeeeee
 
🔹 Kama hajajiunga saccos yoyote na haukopi saccos

🔹 Kama hata milango ya Benki zinazojulikana huzioni

🔵 Unajipeleka kwenye kitu kilichoandikwa " MICROFINANCE" ambazo riba zao Wana kufanganya kwa kukuambia ya mwezi badala ya mwaka.na tena unachukua huko mkopo wa miaka 9 na unafanya top up huko huko

🚮 Wewe huna miaka 5 kitu kiitwacho " magonjwa ya afya ya akili " kinakuhusu
Angalia nilichoandika ina maana mpaka hazina wanakubali maboto watoe mikopo nini maana yake wamefuata sheria zote za hudumaa za mikopo sasa unapoona vitu tofauti ndio maana tuna hoji usione tukuruka kuhusu ili andiko tumeandika kwa sababu mbona vitu tofauti na sheria za mikopo so relax
 
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia nakuwa N/A kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao jamaa watu wamalizane nao kwani walikuwa wabishi sana kusettle madeni kumbe ule ujanja wao walikuwa na sababu kujua wana janja janja uko hazina sasa mambo wazi mfumo umewaumbua kwani huwezi kufanya repayment
Mimi kinacho nisikitisha kwenye mfumo was ess hakuna uainishaji wa benki zote Ili mteja achague na kujaza form Moja Kwa moja zaidi ya top up kwa wale tayari waliokopa tayari kwenye mabenki husika!!

Ess kwenye e loan kungekuwa na Benki kabisa kama nmb,crdb n k moja kwa moja unachagua mwenyewe na sio kuweka TU historian ya mikopo na topup tu!wangeweka hata BOT kabisa mtu anachagua anataka akope Benki gani kuliko kubandika mikopo Ile ile TU aliyokopa mtu!!
 
Angalia nilichoandika ina maana mpaka hazina wanakubali maboto watoe mikopo nini maana yake wamefuata sheria zote za hudumaa za mikopo sasa unapoona vitu tofauti ndio maana tuna hoji usione tukuruka kuhusu ili andiko tumeandika kwa sababu mbona vitu tofauti na sheria za mikopo so relax
Hulijui dunia wewe. Fanya tafiti kabla ya kukopa.usitarajie mtu yoyote au taasisi ikuonee huruma kwenye terms na condition ulizozisign mwewe. Whether umezisoma au haukuzisoma, whether umezielewa au hukuzielewa. Kwenye mikopo usipelekwe na mshawasho wa kupata kiurahisi na kwa haraka, au usipelekwe na shida zinazokulaili au madeni yaliyokuelemea. Usichukue maamuzi ya kukurupuka subiri kesho Mungu atakupa alternative
 
Wewe si serikali tulia tujue uhuni mliofanya
 
Hulijui dunia wewe. Fanya tafiti kabla ya kukopa.usitarajie mtu yoyote au taasisi ikuonee huruma kwenye terms na condition ulizozisign mwewe. Whether umezisoma au haukuzisoma, whether umezielewa au hukuzielewa. Kwenye mikopo usipelekwe na mshawasho wa kupata kiurahisi na kwa haraka, au usipelekwe na shida zinazokulaili au madeni yaliyokuelemea. Usichukue maamuzi ya kukurupuka subiri kesho Mungu atakupa alternative
Boss amewatuma nawamudu mwambieni aisee mh mbunge yule jamaa anatumudu
 
Mimi kinacho nisikitisha kwenye mfumo was ess hakuna uainishaji wa benki zote Ili mteja achague na kujaza form Moja Kwa moja zaidi ya top up kwa wale tayari waliokopa tayari kwenye mabenki husika!!

Ess kwenye e loan kungekuwa na Benki kabisa kama nmb,crdb n k moja kwa moja unachagua mwenyewe na sio kuweka TU historian ya mikopo na topup tu!wangeweka hata BOT kabisa mtu anachagua anataka akope Benki gani kuliko kubandika mikopo Ile ile TU aliyokopa mtu!!
Kwa kweli sijakuelewa
 
Kwa kweli sijakuelewa
Kiongozi mfumo unatambua tasisi ulizoomba mkopo tu kama ujaomba mkopo hiyo tasisis tembelea hiyo tasisi tambua mahitaji yao ukielewa watakupa taratibu zao baada ya hapo details za bank husika utaziona endapo utachukua mkopo kwao
 
Mbona kama bado sijakuelewa? Maana mfumo Kwa ambao hatujawah kopa tunaziona NMB , NBC na CRDB.

Sasa unaposema mfumo unatambua taasisi ulizokopa Tu nashindwa kukuelewa.
 
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A

Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao jamaa watu wamalizane nao kwani walikuwa wabishi sana kusettle madeni kumbe ule ujanja wao walikuwa na sababu kujua wana janja janja uko hazina sasa mambo wazi mfumo umewaumbua kwani huwezi kufanya repayment
Huenda ni bank ya waziri
 
Back
Top Bottom