trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
Iko sawa kabisa , wewe ndo ulikurupuka hukutaka kufuatilia hiyo 17% ni kwa mfumo upi.Chukua mkataba soma vizuri uuelewe.Mkuu mm sio mjinga kama unavyodhani, nilikopa tsh 17,000,000 NMB, baada ya salary kucheck natakiwa kulipa tsh 25,330,000 sasa hiyo ni %ngapi? hata hizo taasisi tunazoziamini zina riba kubwa tu.
Kuchukua mkopo kwa muda mrefu au mfupi ni kulingana na mahitaji yako maana muda mfupi mkwanja kidogo riba ndogo, muda mrefu mkwanja mrefu riba kubwa hapo kazi kwako.
Loan calculator inayotumika na bank iko kama hivi