Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

Nakushauri anzisha Taasisi Yako, ukopeshe Kwa terms Rafiki.

(Kumbukumbu la torati 15:6)

Kwani BWANA, Mungu wako atakubarikia, kama alivyokuahidi, nawe utakopesha mataifa mengi, lakini hutakopa, tena utayatawala mataifa mengi, usitawaliwe na wao.

Ubarikiwe!!
 
Shida watanzania huwa hatuna desturi ya kufanya tafiti huwa tunaongea kwa hisia tu.
Huko bank kuna riba kubwa kuliko maboto na bayport! umewahi kukopa au unasimuliwa tu! fanya reseach halafu urudi tena hapa
F ya Basic Math ya 4m4 bado unatembea nayo ktk maisha yako yote.

Soma, tafuta wasadi wakusaidie. Uache kupayuka.

40% p.a na 17% p.a. kuna tofauti kubwa.

Huoni ratio 2:1? Yaani hiyo 17M uliyochukua Bank ukaambiwa urudishe 25M.. ingekua hizo taasis zako ungeambiwa urejeshe 50M. Muda(miaka) ikiwa sawa.

Acha ukilaza Mr. Researcher (and siyo reseach, afu Watz kama wewe mna dunia yenu) Bata maji.
 
Hio takataka ni miongoni mwa kiataasisi cha kipu.mbavu cha fedha kuwahi kuotokea hapa nchini!
 
Back
Top Bottom