REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Ni sahihi, lazima atakawa na shida ya AKILI. Yaani unakopa Kabisa maboto huku una akili zako timamu kweli? Aiseeeeee🔹 Kama hajajiunga saccos yoyote na haukopi saccos
🔹 Kama hata milango ya Benki zinazojulikana huzioni
🔵 Unajipeleka kwenye kitu kilichoandikwa " MICROFINANCE" ambazo riba zao Wana kufanganya kwa kukuambia ya mwezi badala ya mwaka.na tena unachukua huko mkopo wa miaka 9 na unafanya top up huko huko
🚮 Wewe huna miaka 5 kitu kiitwacho " magonjwa ya afya ya akili " kinakuhusu
Angalia nilichoandika ina maana mpaka hazina wanakubali maboto watoe mikopo nini maana yake wamefuata sheria zote za hudumaa za mikopo sasa unapoona vitu tofauti ndio maana tuna hoji usione tukuruka kuhusu ili andiko tumeandika kwa sababu mbona vitu tofauti na sheria za mikopo so relax🔹 Kama hajajiunga saccos yoyote na haukopi saccos
🔹 Kama hata milango ya Benki zinazojulikana huzioni
🔵 Unajipeleka kwenye kitu kilichoandikwa " MICROFINANCE" ambazo riba zao Wana kufanganya kwa kukuambia ya mwezi badala ya mwaka.na tena unachukua huko mkopo wa miaka 9 na unafanya top up huko huko
🚮 Wewe huna miaka 5 kitu kiitwacho " magonjwa ya afya ya akili " kinakuhusu
Maboto ni nini magwiji?Ni sahihi, lazima atakawa na shida ya AKILI. Yaani unakopa Kabisa maboto huku una akili zako timamu kweli? Aiseeeeee
Yani kumbe tunapigia kelele kausha damu mitaani kumbe hadi serikalini wajanja wachache wameibaliki hatari sana mfumo wa serikali umewaumbuaAiseh!ni shida kubwa !
Umesahau MABENANyie ndio kila siku mnatuma sms watu.waje kukopa? Hivi nchi hii kuna watu wana shida ya akili? Yaani unaenda kukopa Maboto sijui Finca, Banc ABC na ushuzi mwingine. Hayo hata niwe na shida kiasi gani sikopi. Upuuzi kabisa huo. Pia mkome kututimia sms zenu za kipumbavu.
Mimi kinacho nisikitisha kwenye mfumo was ess hakuna uainishaji wa benki zote Ili mteja achague na kujaza form Moja Kwa moja zaidi ya top up kwa wale tayari waliokopa tayari kwenye mabenki husika!!Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia nakuwa N/A kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao jamaa watu wamalizane nao kwani walikuwa wabishi sana kusettle madeni kumbe ule ujanja wao walikuwa na sababu kujua wana janja janja uko hazina sasa mambo wazi mfumo umewaumbua kwani huwezi kufanya repayment
Hulijui dunia wewe. Fanya tafiti kabla ya kukopa.usitarajie mtu yoyote au taasisi ikuonee huruma kwenye terms na condition ulizozisign mwewe. Whether umezisoma au haukuzisoma, whether umezielewa au hukuzielewa. Kwenye mikopo usipelekwe na mshawasho wa kupata kiurahisi na kwa haraka, au usipelekwe na shida zinazokulaili au madeni yaliyokuelemea. Usichukue maamuzi ya kukurupuka subiri kesho Mungu atakupa alternativeAngalia nilichoandika ina maana mpaka hazina wanakubali maboto watoe mikopo nini maana yake wamefuata sheria zote za hudumaa za mikopo sasa unapoona vitu tofauti ndio maana tuna hoji usione tukuruka kuhusu ili andiko tumeandika kwa sababu mbona vitu tofauti na sheria za mikopo so relax
Wewe si serikali tulia tujue uhuni mliofanyaHulijui dunia wewe. Fanya tafiti kabla ya kukopa.usitarajie mtu yoyote au taasisi ikuonee huruma kwenye terms na condition ulizozisign mwewe. Whether umezisoma au haukuzisoma, whether umezielewa au hukuzielewa. Kwenye mikopo usipelekwe na mshawasho wa kupata kiurahisi na kwa haraka, au usipelekwe na shida zinazokulaili au madeni yaliyokuelemea. Usichukue maamuzi ya kukurupuka subiri kesho Mungu atakupa alternative
Boss amewatuma nawamudu mwambieni aisee mh mbunge yule jamaa anatumuduHulijui dunia wewe. Fanya tafiti kabla ya kukopa.usitarajie mtu yoyote au taasisi ikuonee huruma kwenye terms na condition ulizozisign mwewe. Whether umezisoma au haukuzisoma, whether umezielewa au hukuzielewa. Kwenye mikopo usipelekwe na mshawasho wa kupata kiurahisi na kwa haraka, au usipelekwe na shida zinazokulaili au madeni yaliyokuelemea. Usichukue maamuzi ya kukurupuka subiri kesho Mungu atakupa alternative
Kwa kweli sijakuelewaMimi kinacho nisikitisha kwenye mfumo was ess hakuna uainishaji wa benki zote Ili mteja achague na kujaza form Moja Kwa moja zaidi ya top up kwa wale tayari waliokopa tayari kwenye mabenki husika!!
Ess kwenye e loan kungekuwa na Benki kabisa kama nmb,crdb n k moja kwa moja unachagua mwenyewe na sio kuweka TU historian ya mikopo na topup tu!wangeweka hata BOT kabisa mtu anachagua anataka akope Benki gani kuliko kubandika mikopo Ile ile TU aliyokopa mtu!!
Kiongozi mfumo unatambua tasisi ulizoomba mkopo tu kama ujaomba mkopo hiyo tasisis tembelea hiyo tasisi tambua mahitaji yao ukielewa watakupa taratibu zao baada ya hapo details za bank husika utaziona endapo utachukua mkopo kwaoKwa kweli sijakuelewa
Kama nao unaona N/A walipoti tujue huo uhuni alifanya nani uko hazina kusajiri MICROFINANCE ambayo ipo kinyume na miongozo ya B.O.TUmesahau MABENA
Mbona kama bado sijakuelewa? Maana mfumo Kwa ambao hatujawah kopa tunaziona NMB , NBC na CRDB.Kiongozi mfumo unatambua tasisi ulizoomba mkopo tu kama ujaomba mkopo hiyo tasisis tembelea hiyo tasisi tambua mahitaji yao ukielewa watakupa taratibu zao baada ya hapo details za bank husika utaziona endapo utachukua mkopo kwao
Huenda ni bank ya waziriTunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A
Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao jamaa watu wamalizane nao kwani walikuwa wabishi sana kusettle madeni kumbe ule ujanja wao walikuwa na sababu kujua wana janja janja uko hazina sasa mambo wazi mfumo umewaumbua kwani huwezi kufanya repayment