Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

Iko sawa kabisa , wewe ndo ulikurupuka hukutaka kufuatilia hiyo 17% ni kwa mfumo upi.Chukua mkataba soma vizuri uuelewe.
Loan calculator inayotumika na bank iko kama hivi
 
hiyo maboto ni ya yule mbunge wa ccm kutoka kanda maalum
 
yaani watumishi wengi zero kabisa baadhi yao kwenye ishu ya mkopo wanazidiwa na lasaba wa mtaani wafanyabiashara kwenye suala la riba
 
Na nyinyi punguzeni njaa na ujinga! Kila siku tunawashauri humu jukwaani msikope kwenye taasisi za kifedha kama hao Maboto, Finca, Bayport, Platinum, Letshego nani sijui, na takataka nyingine!! Na badala yake mkakope benki kama NMB, CRDB, NBC, TCB, nk Ila hamkomi tu!!

Hivi nyinyi ni watu wa aina gani? Mtaibiwa na kuumizwa mpaka lini? Kwa nini mnakuwa wepesi hivi kushawishiwa na mwisho wa siku kuishia kutapeliwa?
 
Shida watanzania huwa hatuna desturi ya kufanya tafiti huwa tunaongea kwa hisia tu.
Huko bank kuna riba kubwa kuliko maboto na bayport! umewahi kukopa au unasimuliwa tu! fanya reseach halafu urudi tena hapa
 
Mnamuona huyu!! Eti Maboto na Bayport wana riba ndogo kuliko benki kama NMB, CRDB, TCB, NBC, nk!! Yaani taasisi inayotoza riba ya 4%-30% kwa mwezi ina unafuu zaidi kuliko benki inayotoza riba ya 16% kwa mwaka!!

Hata kama sijasomea masuala ya uchumi! Hapa huwezi kunidanganya.
 
Kwani huyo maboto si yupo ajitokeze ajitete au hata chawa wake aje kumtetea huku.
 
Umeshawahi kukopa au unasimuliwa! Mkuu achana na hizo lugha za kibiashara ongea uhalisia wa mambo!
 
Bila shaka mtoa mada ni mwalim wa msingi au sekondari
 
Elewa mada mzee
 
Shida watanzania huwa hatuna desturi ya kufanya tafiti huwa tunaongea kwa hisia tu.
Huko bank kuna riba kubwa kuliko maboto na bayport! umewahi kukopa au unasimuliwa tu! fanya reseach halafu urudi tena hapa
Duh! Mwanangu umeandika ukiwa na akili timamu kabisa?
 
Kwani huyo maboto si yupo ajitokeze ajitete au hata chawa wake aje kumtetea huku.
Uyo maboto anajua sasa tumia hata JF pengine waje chawa wake jamaa ni mbunge mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…