Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

Na marais dhaifu huwa waislam tu
Siyo wadhaifu shida yao uswahili mwingi sana na kucheka cheka hovyo,nimeona tawala zote anzia ya Mzee Mwinyi (Mwenyezi Mungu amrehemu) ila awamu iliyozidisha ujinga na ya Kikwete.
 
Sisi hatuitegemei serikali,Makanisa sasa yanamiliki mabank,je unafikiri nisehem ya makubaliano na serikali?
 
Serikali yetu bado aina uwezo wa kujenga hospital za rufaa.nchi nzima.Mfano Kanda ya Ziwa mpaka Leo Muhimbili yao ni Bungado Hospital (catholic) na kule Kilimanjaro/Arusha KCMC (lutheran) Ndanda Hopsital kule Kusini-jua kuwa kuna wagonjwa wanapatiwa Dawa Bure kila siku (wagonjwa wa TB,Kisukari,HIV,UKOMa,Kansa na watoto chini ya miaka 5) hii sio mfumo Kristo ila ni ukweli wa hali ya kiuchumi ya serikali yetu.
 
Siyo wadhaifu shida yao uswahili mwingi sana na kucheka cheka hovyo,nimeona tawala zote anzia ya Mzee Mwinyi (Mwenyezi Mungu amrehemu) ila awamu iliyozidisha ujinga na ya Kikwete.
Awamu ya kikwete ndiyo iliyojenga barabara za lami nyingi kuliko tawala tatu zilizopita kwa ujumla,iliajiri kuliko mwinyi na mkapa,ilidahili wanafunzi wengi vyuo vikuu kuliko mkapa,ilipandisha mishahara kwa 80% na nyongeza kila mwaka kuliko mkapa,ilikuza uchumi kuliko mkapa,boresha huduma za afya kiasi safari za nje kufuata huduma zikapungua, watanzania wamekua matajiri kipindi cha jakaya,huo upuuzi,ujinga ni upi!?
Ni kwa kuwa kikwete alitimua wavaa majoho pale ikulu walikua na kiifisi chao,kata mafao ya bure toka wizara ya fedha,tishia kusitisha pitisha mizigo bure bandarini,aliwachana maaskofu wanauza unga,alisimulia tukio la gari lenye silaha zilizotumika kwenye ujambazi kukutwa eneo la kanisa kule arusha
Mkatumwa waumini kushambulia utawala wake kupitia kila platform,wakati hapajawahi kuwa na rais bora kuzidi kikwete nchi hii
 
Hizo zote ni pesa za serikali
Kama miaka 12 nyuma ulikuwemo humu wakati mada hizi zikipamba moto wadau walikuwa wamependekeza waislam nao wapeleke mapendekezo yao wapewe Mou!

Unaweza kusema mpaka sasa mmefikia wapi?
 
Hizo zote ni pesa za serikali
zipo wapi hizo pesa za serikali?? Alafu kama mnaona.Wakristo wanapendelewa Handamaneni mdai MOU ivyunjwe! acheni lalamika kama watoto
 

Attachments

  • images - 2025-04-19T061122.071.jpeg
    9.3 KB · Views: 23
Teh teh teh
 
Mmeshaweka mbadala wa Bugando, KCMC, nk, nk ?

Bado wanaendelea kutoa huduma za jamii kwa umma ambazo ni jukumu la serikali
MOU inaitaka serikali isejenge miundombinu kinzani kwenye maeneo ambayo miundombinu (shule/hospital) ya kanisa ipo,nchi ya kijinga sana hii
 
Serekali hivi sasa inaweza kufanya yote hayo
Then iuvunje huo mkataba inasubiri nini?

Ukiona mpaka leo hiyo serikali yako tena chini ya dada yako wa kipemba mnaefanana imani hauzungumzii ujue ameshapima kina ameona maji marefu.
 
Umelogwa?

Hili jambo miaka na miaka tunajadili humu wewe tena unakuja nalo leo au umetumwa?
Huyu ni mjinga tu msipoteze muda nae,MOU imeamka baada ya maaskofu kukemea ukandamizaji.Kama ameumia sana aiambie serikali ivunje hio MUO
 
Hizo zote ni pesa za serikali
CHAWA, jibu swali..

Je, mnao mbadala wa NDANDA, BUGANDO, KCMC, nk kwa ajili ya kuhudumia umma?

Au wadini na machawa mnataka wananchi wa maeneo ya pembezoni mwa nchi wakiwa na dharura wakimbizwe kuja kurundikana Mloganzila?!!

Hivi unajua huduma za dialysis Zanzibar ni BURE kwa gharama ya Watanganyika?!
 
MOU inaitaka serikali isejenge miundombinu kinzani kwenye maeneo ambayo miundombinu (shule/hospital) ya kanisa ipo,nchi ya kijinga sana hii
Unaweza kutuwekea hapa huo mkataba tukajikumbusha?

By the way,nchi yako duniani nadhani kama sikosei ndiyo inayoongoza kwa kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na kichwa wala miguu especially hapo juu panapokuwa na kiongozi kutoka pwani,sitazungumza habari za dini mimi maana wanajulikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…