mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Muhimbili ni rufaa,unataka mtu akitika huko kizuramimba moja kwa moja aletwe muhimbiliMuhimbili?

Utafute, ndiyo maana unaona mwanza,mtwara,arusha serikali hajengi hospital za maanaUnaweza kutuwekea hapa huo mkataba tukajikumbusha?
By the way,nchi yako duniani nadhani kama sikosei ndiyo inayoongoza kwa kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na kichwa wala miguu especially hapo juu panapokuwa na kiongozi kutoka wa pwani!
Wao wanakumbatia Elimu Ya Pepo na jinsi ya kuzishughulikia Bikra 72,Mito ya Pombe na Vijana wa kiume warembo watakao kuwa wanawahudumia Peponi. The Quran mentions ghilman (غِلْمَان) as serving boys who are one of the delights of Jannah or paradise/heaven of Islam, in verse 52:24Kama miaka 12 nyuma ulikuwemo humu wakati mada hizi zikipamba moto wadau walikuwa wamependekeza waislam nao wapeleke mapendekezo yao wapewe Mou!
Unaweza kusema mpaka sasa mmefikia wapi?
Kwani wewe uliyeusoma tayari utapungukiwa nini ukinirahisishia kazi kuupata?Utafute, ndiyo maana unaona mwanza,mtwara,arusha serikali hajengi hospital za maana
Ndivyo ilivyo,haya yamepigiwa kelele late 1990s,sijui ulikua na umri gani,waliopigia kelele waliitwa siasa kali,juzijuzi ilunga kayarudia sana haya,akafia india kwa kucheleweshewa matibabuKwani wewe uliyeusoma tayari utapungukiwa nini ukinirahisishia kazi kuupata?
Kwamba serikali haijengi hospital kubwa kwa sababu ya MOU?hii inakuingia akilini?hiyo serikali na viongozi wakufanya hayo wako wapi?hakuna kitu kama hicho CCM ni failure hawa ndiyo tatizo fungueni vichwa hivyo.
KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora.
Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.
Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC.
Kwa mfano, sehemu ya kwanza ya hati ya makubaliano hayo, kifungu cha kwanza, kinaeleza kuwa makanisa yataanzisha kamisheni ya uratibu wa utoaji huduma hizo.
Katika kifungu hicho cha kwanza, sehemu ‘a’ hati hiyo inaeleza kuwa jukumu la kamisheni hiyo ni kuandaa sera zinazohusiana na huduma za afya na elimu zinazotolewa na makanisa.
Kifungu kidogo cha nne, sehemu hiyo ya kwanza ya hati hiyo, kinaeleza kuwa kamisheni hiyo itakuwa ikiratibu na kusimamia matumizi ya fedha, mikopo kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu na afya.
Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sera na sheria za nchi.
Serikali kupitia hati hiyo pia imekubaliana na makanisa kuanzishwa kwa Mfuko wa Huduma za Kijamii ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kupokea mikopo na misaada.
Pia kwa upande wa elimu, serikali ilikubali kutoa nafasi za masomo ya mafunzo wa ualimu kwa wanafunzi wa ualimu.
Rubbish, kwa kuwa wametaka haki itendeke? Kwani wakatoliki hawalipi kodi? Kama kuna MOU na inawapa wivu si mkaonane na mama mtengeneze yenu?
Toeni haki ndio mdai amani acheni blabla hapa, watanzania sio wajinga tena
Umeandika mambo mengi sana sijui hata umeyatoa wapi,tupo ulimwengu wa teknolojia nadhani unaweza kutuwekea hapa hizi habari za Kikwete akiwachana maaskofu kuuza unga na gari la ujambazi kukutwa Kanisani!Awamu ya kikwete ndiyo iliyojenga barabara za lami nyingi kuliko tawala tatu zilizopita kwa ujumla,iliajiri kuliko mwinyi na mkapa,ilidahili wanafunzi wengi vyuo vikuu kuliko mkapa,ilipandisha mishahara kwa 80% na nyongeza kila mwaka kuliko mkapa,ilikuza uchumi kuliko mkapa,boresha huduma za afya kiasi safari za nje kufuata huduma zikapungua, watanzania wamekua matajiri kipindi cha jakaya,huo upuuzi,ujinga ni upi!?
Ni kwa kuwa kikwete alitimua wavaa majoho pale ikulu walikua na kiifisi chao,kata mafao ya bure toka wizara ya fedha,tishia kusitisha pitisha mizigo bure bandarini,aliwachana maaskofu wanauza unga,alisimulia tukio la gari lenye silaha zilizotumika kwenye ujambazi kukutwa eneo la kanisa kule arusha
Mkatumwa waumini kushambulia utawala wake kupitia kila platform,wakati hapajawahi kuwa na rais bora kuzidi kikwete nchi hii
Nilidhani seriksli pumbavu ya sisiemu inatoa pesa za nchi kwa mambo ya dini ...kama kujenga makanisa au seminary...kama ni mambo ya huduma za jamii hakuna shida ...ni kosa serikali kujenga au kuchangia ujenzi wa makanisa au misikiti au kujenga sehemu za ibada kwenye majengo ya serikali au kujenga shule za diniKANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora.
Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.
Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC.
Kwa mfano, sehemu ya kwanza ya hati ya makubaliano hayo, kifungu cha kwanza, kinaeleza kuwa makanisa yataanzisha kamisheni ya uratibu wa utoaji huduma hizo.
Katika kifungu hicho cha kwanza, sehemu ‘a’ hati hiyo inaeleza kuwa jukumu la kamisheni hiyo ni kuandaa sera zinazohusiana na huduma za afya na elimu zinazotolewa na makanisa.
Kifungu kidogo cha nne, sehemu hiyo ya kwanza ya hati hiyo, kinaeleza kuwa kamisheni hiyo itakuwa ikiratibu na kusimamia matumizi ya fedha, mikopo kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu na afya.
Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sera na sheria za nchi.
Serikali kupitia hati hiyo pia imekubaliana na makanisa kuanzishwa kwa Mfuko wa Huduma za Kijamii ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kupokea mikopo na misaada.
Pia kwa upande wa elimu, serikali ilikubali kutoa nafasi za masomo ya mafunzo wa ualimu kwa wanafunzi wa ualimu.
Waliitwa siasa kali kwa sababu walikuwa wanaongea nonsense,ukiwa unaishi kwenye mji kama wa Dar (mnakoishi nyie so called wanaharakati hata wa kipindi hicho) utaona mambo ndiyo yanavyopaswa yawe kumbe sivyo.Ndivyo ilivyo,haya yamepigiwa kelele late 1990s,sijui ulikua na umri gani,waliopigia kelele waliitwa siasa kali,juzijuzi ilunga kayarudia sana haya,akafia india kwa kucheleweshewa matibabu
Kanisa linapewa pesa halafu yenyewe linalaumu huduma mbovuWaliitwa siasa kali kwa sababu walikuwa wanaongea nonsense,ukiwa unaishi kwenye mji kama wa Dar (mnakoishi nyie so called wanaharakati hata wa kipindi hicho) utaona mambo ndiyo yanavyopaswa yawe kumbe sivyo.
Ukitoka nje ya huo mji ukaingia ndani ndani huko vijijini utaelewa kwa nini miaka yote serikali zenu hasa za kiislamu huwa zinawapuuza,na wewe kabisa ulikuwa unamsikiliza Ilunga?ndiyo maana mindset yako imekaa hovyo huwazi nje ya box la dini!
Kwanini na misikiti isipeleke proposal ili nayo ipewe hizo pesa ijulikane kama kuna nini Kanisa linakiona kigumu wakati pesa linapewa kama hakina mashiko linyimwe hizo hela ili share ichukue misikiti?Kanisa linapewa pesa halafu yenyewe linalaumu huduma mbovu
Wewe wasemaKwa sababu muislam
Nani kakudanganya?Kuna maeneo bila hizo hospitali za kanisa watu wangekufa kwa kukosa huduma,
Kuishi ni haki ya kila mtu
Wananchi wanata reforms na katika reforms hizo basi makanisa yasipewe fedha zao wananchiKwanini na misikiti isipeleke proposal ili nayo ipewe hizo pesa ijulikane kama kuna nini Kanisa linakiona kigumu wakati pesa linapewa?
Wakati unajiuliza hilo jiulize pia kwamba kwanini serikali ya dada yako au kaka yako Kikwete ilikaa kimya wakati unaohisi wewe wanapewa hela bure wakizilalamikia serikali zao na hawakuwa na cha kufanya?unahisi una akili kuwazidi wao wanaoamua kukaa kimya bila kusema huo mkataba uvunjwe wala uguswe?
Una chuki sana dhidi ya WakristoKANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora.
Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.
Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC.
Kwa mfano, sehemu ya kwanza ya hati ya makubaliano hayo, kifungu cha kwanza, kinaeleza kuwa makanisa yataanzisha kamisheni ya uratibu wa utoaji huduma hizo.
Katika kifungu hicho cha kwanza, sehemu ‘a’ hati hiyo inaeleza kuwa jukumu la kamisheni hiyo ni kuandaa sera zinazohusiana na huduma za afya na elimu zinazotolewa na makanisa.
Kifungu kidogo cha nne, sehemu hiyo ya kwanza ya hati hiyo, kinaeleza kuwa kamisheni hiyo itakuwa ikiratibu na kusimamia matumizi ya fedha, mikopo kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu na afya.
Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sera na sheria za nchi.
Serikali kupitia hati hiyo pia imekubaliana na makanisa kuanzishwa kwa Mfuko wa Huduma za Kijamii ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kupokea mikopo na misaada.
Pia kwa upande wa elimu, serikali ilikubali kutoa nafasi za masomo ya mafunzo wa ualimu kwa wanafunzi wa ualimu.
Iweke hapa hiyo hati mkuu nami nijiridhishe.KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?