Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

Unaweza kutuwekea hapa huo mkataba tukajikumbusha?

By the way,nchi yako duniani nadhani kama sikosei ndiyo inayoongoza kwa kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na kichwa wala miguu especially hapo juu panapokuwa na kiongozi kutoka wa pwani!
Utafute, ndiyo maana unaona mwanza,mtwara,arusha serikali hajengi hospital za maana
 
Kama miaka 12 nyuma ulikuwemo humu wakati mada hizi zikipamba moto wadau walikuwa wamependekeza waislam nao wapeleke mapendekezo yao wapewe Mou!

Unaweza kusema mpaka sasa mmefikia wapi?
Wao wanakumbatia Elimu Ya Pepo na jinsi ya kuzishughulikia Bikra 72,Mito ya Pombe na Vijana wa kiume warembo watakao kuwa wanawahudumia Peponi. The Quran mentions ghilman (غِلْمَان) as serving boys who are one of the delights of Jannah or paradise/heaven of Islam, in verse 52:24
 
Huwa najiuliza sana, Uislam hapa TANZANIA unafaida gani... Maana hakuna cha maana walicho kileta
 
Utafute, ndiyo maana unaona mwanza,mtwara,arusha serikali hajengi hospital za maana
Kwani wewe uliyeusoma tayari utapungukiwa nini ukinirahisishia kazi kuupata?

Kwamba serikali haijengi hospital kubwa kwa sababu ya MOU?hii inakuingia akilini?hiyo serikali na viongozi wakufanya hayo wako wapi?hakuna kitu kama hicho CCM ni failure hawa ndiyo tatizo fungueni vichwa hivyo.
 
Rubbish, kwa kuwa wametaka haki itendeke? Kwani wakatoliki hawalipi kodi? Kama kuna MOU na inawapa wivu si mkaonane na mama mtengeneze yenu?

Toeni haki ndio mdai amani acheni blabla hapa, watanzania sio wajinga tena
 
Ndivyo ilivyo,haya yamepigiwa kelele late 1990s,sijui ulikua na umri gani,waliopigia kelele waliitwa siasa kali,juzijuzi ilunga kayarudia sana haya,akafia india kwa kucheleweshewa matibabu
 

Imarisheni kwanza nyumba zenu za ibada. Imarisheni kwanza maslahi ya watuza nyumba za ibada. Kila siku mnapoteza nguvu nyingi kupambana na kitu ambacho hamtakiweza.
yale yaliyo kwenye uwezo wenu yanawashida...anzeni nayo kwanza ndio muingilie mengine yaliyo makubwa kuliko uwezo wenu
 
Rubbish, kwa kuwa wametaka haki itendeke? Kwani wakatoliki hawalipi kodi? Kama kuna MOU na inawapa wivu si mkaonane na mama mtengeneze yenu?

Toeni haki ndio mdai amani acheni blabla hapa, watanzania sio wajinga tena

Wanashindwa hata kujenga na kutunza nyumba zao za ibada. Kila siku kulalamikia vitu ambavyo hawana uwezo navyo
 
Umeandika mambo mengi sana sijui hata umeyatoa wapi,tupo ulimwengu wa teknolojia nadhani unaweza kutuwekea hapa hizi habari za Kikwete akiwachana maaskofu kuuza unga na gari la ujambazi kukutwa Kanisani!

So akafanya nini kuhusu MOU?kama alikuwa na uwezo wa kufanya hayo yote then kwanini hakuuvunja huu mkataba?au kwanini nyie kama waislam na yeye muislam mwenzenu hamkumpa mapendekezo yenu ili hicho mnachokiona Kanisa linafaidika nacho awaingize na nyie mfaidike?ukiona hivyo aliwajua nyie ni hewa!
 
Nilidhani seriksli pumbavu ya sisiemu inatoa pesa za nchi kwa mambo ya dini ...kama kujenga makanisa au seminary...kama ni mambo ya huduma za jamii hakuna shida ...ni kosa serikali kujenga au kuchangia ujenzi wa makanisa au misikiti au kujenga sehemu za ibada kwenye majengo ya serikali au kujenga shule za dini
 
Ndivyo ilivyo,haya yamepigiwa kelele late 1990s,sijui ulikua na umri gani,waliopigia kelele waliitwa siasa kali,juzijuzi ilunga kayarudia sana haya,akafia india kwa kucheleweshewa matibabu
Waliitwa siasa kali kwa sababu walikuwa wanaongea nonsense,ukiwa unaishi kwenye mji kama wa Dar (mnakoishi nyie so called wanaharakati hata wa kipindi hicho) utaona mambo ndiyo yanavyopaswa yawe kumbe sivyo.

Ukitoka nje ya huo mji ukaingia ndani ndani huko vijijini utaelewa kwa nini miaka yote serikali zenu hasa za kiislamu huwa zinawapuuza,nenda Mahenge huko CT Scan na X ray machines utakuta zipo hospital ya Kanisa na yenyewe inaelemewa na wagonjwa ukikuta zahanati ya serikali imejengwa wakati wa Hayati Magufuli.na wewe kabisa ulikuwa unamsikiliza Ilunga?ndiyo maana mindset yako imekaa hovyo huwazi nje ya box la dini,hii nchi kuna wananchi wanapata shida badala uje na wazo tufanye nini CCM watoke unakuja na habari za kupunguza huduma za wananchi!
 
Kanisa linapewa pesa halafu yenyewe linalaumu huduma mbovu
 
Kanisa linapewa pesa halafu yenyewe linalaumu huduma mbovu
Kwanini na misikiti isipeleke proposal ili nayo ipewe hizo pesa ijulikane kama kuna nini Kanisa linakiona kigumu wakati pesa linapewa kama hakina mashiko linyimwe hizo hela ili share ichukue misikiti?

Wakati unajiuliza hilo jiulize pia kwamba kwanini serikali ya dada yako au kaka yako Kikwete ilikaa kimya wakati unaohisi wewe wanapewa hela bure wakizilalamikia serikali zao na hawakuwa na cha kufanya?unahisi una akili kuwazidi wao wanaoamua kukaa kimya bila kusema huo mkataba uvunjwe wala uguswe?
 
Kuna maeneo bila hizo hospitali za kanisa watu wangekufa kwa kukosa huduma,
Kuishi ni haki ya kila mtu
Nani kakudanganya?

Nchi hii hospital zote ni za kanisa pekee mtaa kwa mtaa?

Nenda ukara kisiwani ukajione mahospital ya kanisa yalivyojazana
 
Wananchi wanata reforms na katika reforms hizo basi makanisa yasipewe fedha zao wananchi

Fedha zao wapewe wenyewe kila kijiji kila kata kama ruzuku kwa ajili ya kujiletea maendeleo

Makanisa yana vyanzo vingi vya mapato kulingana na katiba zao alafu tunawapa manoti ya kazi gani?
 
Una chuki sana dhidi ya Wakristo
 
Iweke hapa hiyo hati mkuu nami nijiridhishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…