Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Serikali imezuhiwa na nani kuuvunja mkataba huo?KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora.
Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.
Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC.
Kwa mfano, sehemu ya kwanza ya hati ya makubaliano hayo, kifungu cha kwanza, kinaeleza kuwa makanisa yataanzisha kamisheni ya uratibu wa utoaji huduma hizo.
Katika kifungu hicho cha kwanza, sehemu ‘a’ hati hiyo inaeleza kuwa jukumu la kamisheni hiyo ni kuandaa sera zinazohusiana na huduma za afya na elimu zinazotolewa na makanisa.
Kifungu kidogo cha nne, sehemu hiyo ya kwanza ya hati hiyo, kinaeleza kuwa kamisheni hiyo itakuwa ikiratibu na kusimamia matumizi ya fedha, mikopo kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu na afya.
Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sera na sheria za nchi.
Serikali kupitia hati hiyo pia imekubaliana na makanisa kuanzishwa kwa Mfuko wa Huduma za Kijamii ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kupokea mikopo na misaada.
Pia kwa upande wa elimu, serikali ilikubali kutoa nafasi za masomo ya mafunzo wa ualimu kwa wanafunzi wa ualimu.
Hizo hela unawapa wewe na nani mzee?Wananchi wanata reforms na katika reforms hizo basi makanisa yasipewe fedha zao wananchi
Fedha zao wapewe wenyewe kila kijiji kila kata kama ruzuku kwa ajili ya kujiletea maendeleo
Makanisa yana vyanzo vingi vya mapato kulingana na katiba zao alafu tunawapa manoti ya kazi gani?
Hawa jamaa majority hawajawahi kuwa na akili!Wewe wasema
Hapana. Ninachuki na kodi yangu kujengewa makanisaUna chuki sana dhidi ya Wakristo
Sisi wananchi tunata uvunjwe.Hizo hela unawapa wewe na nani mzee?
Swali dogo tu,unadhani huo mkataba ungekuwa mbovu kama mnavyotaka kuiaminisha jamii hapa ungekuwa hai mpaka leo?kwanini usivunjwe au serikali isipanue wigo kwa kuwaingiza wengine (waislam ) wenye interest nao?
Nikuulize wewe unaesema upo na kwamba uvunjwe,yupo mwenzako huko juu amedai anao nimemwambia aupandishe hapa amekimbia.Sisi wananchi tunata uvunjwe.
Swali dogo huo mkataba unao hapo?
Serikali mbona inajenga misikiti je huoni? Misikiti kwenye maeneo ya serikali, nenda Ferry, nenda Coco Beach, nenda kwenye masoko mbalimbali ni Kodi zetu zinajenga misikiti hiyoHapana. Ninachuki na kodi yangu kujengewa makanisa
MoU hata Bakwata ipo😂
Malaria ana udini kama bibi yake Mozilla FireFox ,anashindwa kutambua kwamba serikali ya JMT haina dini.Serikali mbona inajenga misikiti je huoni? Misikiti kwenye maeneo ya serikali, nenda Ferry, nenda Coco Beach, nenda kwenye masoko mbalimbali ni Kodi zetu zinajenga misikiti hiyo
Hapa unadanganya mchana kweupe.MOU inaitaka serikali isejenge miundombinu kinzani kwenye maeneo ambayo miundombinu (shule/hospital) ya kanisa ipo,nchi ya kijinga sana hii
Mwendokasi tu hapo Dar ni shida, barabara za mitaani ni majanga, then unasema wanaweza yote hayo.Serekali hivi sasa inaweza kufanya yote hayo
Kama ni hivyo mbona makanisa yanaulumu huduma mbovu za afya wakati wanachotewa mabilion ya fedha hata CAG hayakaguwiMalaria ana udini kama bibi yake Mozilla FireFox ,anashindwa kutambua kwamba serikali ya JMT haina dini.
Huyo nilichogundua ni UDINI tu umejaa wakati hizo shule na hospital wanatibiwa hadi waislam na wanasoma pia waislam wenzao.
Kukosa cathoric asingesoma ,angeishia kumeza juzuu 30 tu.
Hahahaha muda si mrefu mashehe wataanza kuinuka na kuanza kusema kwa kuwa bi.tozo ni Mkuresh wa Kizimkazi anaonewa.TEC shikilieni hapohapo. Milio imeanza.
Ndiyo ukweli, yaani moshi, mtwara na moshi pasiwe na hospital kubwaHapa unadanganya mchana kweupe.
Mbona kuna sehemu ambazo wakati wa JPM, serikali ilijenga hospital zake na kuachana na za diniNdiyo ukweli, yaani moshi, mtwara na moshi pasiwe na hospital kubwa
Hospital kubwa,kcmc,bugando,ndanda, hospital kama muhimbili, benjamin mkapa hutoziona mwanza,moshi,mtwaraMbona kuna sehemu ambazo wakati wa JPM, serikali ilijenga hospital zake na kuachana na za dini
Sijui mna faida gani kueneza uongoHospital kubwa,kcmc,bugando,ndanda, hospital kama muhimbili, benjamin mkapa hutoziona mwanza,moshi,mtwara
Hayo mabilioni yanapelekwa kwa ajili ya nini? Nadhani haujui dhumuni la hiyo MOU?Kama ni hivyo mbona makanisa yanaulumu huduma mbovu za afya wakati wanachotewa mabilion ya fedha hata CAG hayakaguwi