Kwanini Kanisa Katoliki linahamasisha umaskini na halitaki kabisa watu waponywe na maradhi? Au wanafaidika nao

Kwanini Kanisa Katoliki linahamasisha umaskini na halitaki kabisa watu waponywe na maradhi? Au wanafaidika nao

Kosa halihalalishwi na kosa
Hakuna kosa lolote ambalo hao wanaosema tunaabudu "vinyago" tunafanya, kila kitu kinafanyika mujibu wa maandiko na Mungu hujibu maombi yetu.
Kinachooneshwa hapo ni dhihaka ya kiimani kwetu na siasa za kidini lakini Mungu mwenyewe ndiye anayefahamu dhamiri zetu na mioyo yetu hatuna haja ya kujitetea kwa wanadamu
 
Back
Top Bottom