- Thread starter
- #121
Hii siyo kazi ya kanisa. Kazi ya kanisa ni kihubiri injili na kuwafanya watu waokoke. Yesu alisema enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili aaminiye na kibatizwa ataokoka na asiyeamini atahukumiwa.hapo vipi 👇👇👇👇
Kanisa Katoliki limekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya afya nchini Tanzania kupitia hospitali zao ambazo zinatoa huduma za afya kwa jamii. Baadhi ya hospitali zinazomilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania ni pamoja na:
Hospitali ya Rufaa ya Bugando - Mwanza
Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Gaspari - Dodoma
Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Elizabeth - Shinyanga
Hospitali ya Mtakatifu Therese wa Mtoto Yesu - Songea
Hospitali ya Mtakatifu Francis - Ifakara
Peramiho mission Hospital
Ruvuma
Ndanda mission Hospital
Mtwara
Hizi ni baadhi tu ya hospitali za Kanisa Katoliki ambazo zinatoa huduma za afya nchini Tanzania, na zimekuwa na mchango mkubwa katika kuboresha afya ya jamii.
Bado kuna Zahanati,vituo vya afya na taasisi nyingi zinazoshughulika na huduma za afya.
Yesu hakuwaagiza waende ulimwenguni kujenga mahospitali au mashule. Hii ni kazi ya serikali na ndo mana tunalipa kodi.
Acheni kazi zisizowahusu