Kwanini Kanisa Katoliki linahamasisha umaskini na halitaki kabisa watu waponywe na maradhi? Au wanafaidika nao

Waumini wa Mwamposa naonaga kama moja haikai mbili haikai vile.

Haya mambo ya imani za namna hiyo yapo kwa ajili ya kufariji na kuwapa waumini njia ya mkato ya kutuliza mawazo.
 
Kwa hiyo wakatoliki hawaamini katika maombi. Sasa wanasali vya nini wakati hawaamni. Kama Mungu anaweza kufanya magumu kuwa mepesi. Wanamchukulia mungu kama.katili
Wakatoliki wakiwa mbele za Mungu wanafanya yafuatayo:-
1. Sala za kushukuru
2. Sala za maombi (hapo Mungu atajibu kwa wakati Yeye anaoona unafaa- halazimishwi kwa makelele mengi kana kwamba yeye ni kiziwi hasikii.)
3. Sala za kusifu
4 Sala za toba (Majuto)
5. Sala za kuabudu na kutukuza.
6. Ibada Takatifu - Misa.
Sasa wewe unayejikita kuomba tuuuuu.. mwanzo mwisho kama unaamini, utaendelea hivyo mpaka lini? Je, Mungu unayemwomba kwa nguvu hivyo unadhani hajui shida zako?
 
Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.

Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.

Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Hapa duniani kuna madhehebu ambayo ni matawi ya mashetani kumsaidia kazi ya ku pump watu kuzimu moja wapo ni hilo.
 
Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.

Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.

Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Mkuu unajua maana ya neno IMANI?Ukiweza kuivuna angalau kwa 0.001% juu ya kitu chochote basi inaweza kushtua subconscious mind(the part of your brain ambayo si rahisi kuiamsha) na ikafanya matokeo yyt yale unayotaka!!!!!!!!!!!!
Believe it or not,inshu ipo hapo kwenye namna ya kuivuna 'FAITH'!Hapo ndio kwenye shughuli.Hao maaskofu wanajua hilo na hata Mwamposa analijua hilo but no one will teach you how to harness 'faith'
 
Kama kweli wanaponya wangeenda mahospital na kuponya wale walio kwenye drip na ICU!
 
Mkuu unajua maana ya neno IMANI?Ukiweza kuivuna angalau kwa 0.001% juu ya kitu chochote basi inaweza kushtua subconscious mind(the part of your brain ambayo si rahisi kuiamsha) na ikafanya matokeo yyt yale unayotaka!!!!!!!!!!!!
Believe it or not,inshu ipo hapo kwenye namna ya kuivuna 'FAITH'!Hapo ndio kwenye shughuli.Hao maaskofu wanajua hilo na hata Mwamposa analijua hilo but no one will teach you how to harness 'faith'
It is Mwamposa who can teach. Others are unable.
 
Mkuu unajua maana ya neno IMANI?Ukiweza kuivuna angalau kwa 0.001% juu ya kitu chochote basi inaweza kushtua subconscious mind(the part of your brain ambayo si rahisi kuiamsha) na ikafanya matokeo yyt yale unayotaka!!!!!!!!!!!!
Believe it or not,inshu ipo hapo kwenye namna ya kuivuna 'FAITH'!Hapo ndio kwenye shughuli.Hao maaskofu wanajua hilo na hata Mwamposa analijua hilo but no one will teach you how to harness 'faith'
nakubali
 
We jamaa bhana......aliekuambia utajiri lazima uwe na uhusiano na Shetani ni nani ?...hata wafuasi wa Kristo wameahidiwa baraka na Utajiri.

2 Wakorintho 8:9
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
Kama huo mstari tu umeshindwa kuutafakari na kuutafasiri Biblia unasoma ya nini. Huu utajiri unaozungumziwa hapo siyo wa ulimwengu huu wala siyo wa kimwili, bali utajiri wa kiroho.
 
Umasikini unaondolewa vipi ?

Au unamaanisha umasikini wa so called wanaowaombea masikini na kuwatumia kama mtaji wao ?
 
Kama huo mstari tu umeshindwa kuutafakari na kuutafasiri Biblia unasoma ya nini. Huu utajiri unaozungumziwa hapo siyo wa ulimwengu huu wala siyo wa kimwili, bali utajiri wa kiroho.
Utajiri unaozungumziwa hapo ni wa kiroho na kimwili.
 
Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.

Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.

Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
China wanaombewa na mwamposa??
Kama mwamposa ni ufumbuzi wa Umaskini AIOMBEE TANZANIA IWE BAINA YA NCHI TAJIRI.🙄😜
 
Ni falsafa walizotoa kwa philosophers wakigiliki ambao kuna kipindi walikuwa na influence kubwa kwa mapapa kuliko Biblia.

Yesu alifanyika masikini ili sisi tulio masikini tupate kuwa matajiri. Huu mstari hawawezi kuusisitiza.
Hakuna Deen itakuletea pilau Nyumbani!
 
Back
Top Bottom