shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
katoe sadaka yakujimaliza kondoo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli, wao wanasisitiza utajili kwa kufanya kazi. Huo ujinga wa I receive haunaga nafasi huko..!!Shida ni kwamba kanisa katiliki linasisitiza umaskini kama ambavyo jpm alisisitiza watu kuwa wanyonge.
Na hukufanya kazi yoyote..!!?? WE NI MUONGOKuna watu wanaombewa wanapata utajari na hali yao inabadilika kabisa. Mfano mimi
Maombi ya mafanikio siyo lazima kwenda kwa mitume na manabii (wa siku hizi wengi ni wa uongo na matapeli) au makanisani na nyumba nyingine za ibada.Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Sema.kwamba baada ya kusali mnaenda kulewa smart gin na kongagiSiyo kweli, wao wanasisitiza utajili kwa kufanya kazi. Huo ujinga wa I receive haunaga nafasi huko..!!
By the way, tushazowea kusemwa, kutukanwa na wengi wasio wakatoliki. Tunachokifanya sisi tunakusikiliza, ukimaliza tunaenda kanisani kwetu kusali halafu baada ya kusali tunakwenda kwenye kitimoto, halafu tunarudi home. We tukana, kejeli, etc wala hatutakufuata na mitutu wala mapanga.
HANGAIKENI NA MABORITI YENU, MTUACHE NA VIBANZI VYETU..!!
Kwani kazi nilikuwa sifanyi hapo awaliNa hukufanya kazi yoyote..!!?? WE NI MUONGO
Kweli, na wala hatukashifu imani ya mtu..!! Wewe ambaye hulewi, unadhani walevi wote umewapita kwa utajiri?Sema.kwamba baada ya kusali mnaenda kulewa smart gin na kongagi
Acha kazi ukaombewe utafanikiwa..!!!Kwani kazi nilikuwa sifanyi hapo awali
Yesu alishinda jaribio la shetani la ahadi ya utajiri. Wala Yesu hakuja kuhubiri habari za utajiri wa dunia hii bali habari za Ufalme wa Mungu. Alisisitiza tuuze tulivyo navyo na kuwapa maskini na kisha tumfuate. Hao manabii wanaohubiri Utajiri ni wafuasi wa shetani maana kuna uhusiano mkubwa sana kati ya Shetani na Utajiri wa dunia hii.Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
😂😂😂 ongera aiseeeKuna watu wanaombewa wanapata utajari na hali yao inabadilika kabisa. Mfano mimi
Anachukua kondoo za madhehebu mengine,sio katoriki.Jamaa anachukua kondoo za watu lazima wamjie juu.
Sio kweli. Huku kwetu umasaini ndani ndani huku Jumapili ya 11 Mwaka B tar. 16 June 2024 padre alihubiri kuhusu Ufalme wa Mungu uko wapi? Au ww unadhani Jf inasomwa hapo Dar pekee? Huyo Mwamposa inakuwaje? Mbona sisi huku hatujawahi kumuona?Jumapili iliyopota mapadre na maaskofu wote walimhuniri mwamposa tu.
Huo ni uzushi. Una nia ovu ya kufitinisha waumini na viongozi wao. Hebu katafute pesa achana na Fitina mkuu.Ukichunguza kwa makini viongozi wa kikatoliki ni wanyonyaji wakubwa, angalia wanavyotumia jumuiya ndogo katika kukamua watu bila huruma.
Unapigwa hela wewe stuka. Injili ni habar njema iletayo wokovu. Na tena tumetumwa kutangaza habar njem za ufalme w Mungu sio kununua maji sio nnUkisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Lingekuwa linasisitiza umaskini,waumini wasingekuwa wanaomba kwa masaa mawili tu kwa juma ili wapate muda wa kufanya kazi,vp nyinyi mnaobudu karibia kila siku tena kuanzia alfajili mpaka jioni, kama sio kuwatia watu umaskini ni nini?Shida ni kwamba kanisa katiliki linasisitiza umaskini kama ambavyo jpm alisisitiza watu kuwa wanyonge.
Umesema sahihi kabisa. Hawa watu sijui ni kwa nini wanashindwa au hawataki kwa makusudi kuukubali ukweli kwamba hata Yesu mwenyewe alifanya kazi tokea akiwa mtoto hadi utu uzima. Si Ingekuwa rahisi kwake kuomba? Yani ni ujinga sana kwamba Kiongozi wako anafanya kazi halafu wewe mfuasi unataka eti ulale hufanyi kazi unashindia maombi.Kafanye utafiti wa maneno yako kanisa katoliki alijawahi kuwa na wasiwasi wa waumini wake kuondoka tangu kuanzishwa na ndiyomaana makanisa mengi yamemeguka kutoka kwalo na bado ndo kanisa linaloongoza kwakuwa na waumini wengi duniani. Africa tumedanganywa sana tunadhani kuombewa au kuomba kunaondoa umaskini! Kwa namna hii atuwezi kuendelea. Kazi ndiyo msingi mkuu wa utajiri na kuondoa umaskini na sio maombezi. Ikiwa unadhani vinginevyo basi utilize kwanini kwenye makanisa hayo sadaka tena za mafungu na zaka zingelikuwa azitolewi kwenye makanisa bali wangeliomba tu na wangelishushiwa kila kitu.
