Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyo Mwamposa, huko kanisani kwake hakuna masikini?China wanaombewa na mwamposa??
Kama mwamposa ni ufumbuzi wa Umaskini AIOMBEE TANZANIA IWE BAINA YA NCHI TAJIRI.🙄😜
Mtani una maswali chonganishi ujuwe..!Hivi bado miujiza ipo?
Ulienda kwenye makanisa yote?Jumapili iliyopota mapadre na maaskofu wote walimhuniri mwamposa tu.
Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Kwa sababu hao hao wachungaji utajiri wao ni sadaka za hao wanaodai wanawaombea wafanikiwe kifedha wao wenyewe mbona hawajiombei wakafanikiwa ila wakiwa na shida waumini utasikia, sadaka ya kumjengea mchungaji, sadaka ya kununua gari, sadaka sijui ya nini. So, huo ni utapeli mafanikio ni kuchapa kazi na hao mapadri na maaskofu wa kanisa katoliki nao wanachangiwa pesa hawajawahi kuwambia waumini pesa inapatikana kwa kuombea.Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Kanisa halipigi vita wachungaji (genuine) wenye karama ya uponyaji na wanaofanya hivyo kama sehemu ya huduma za makanisa yao. Kanisa Katoliki linapiga vita wachungaji wanaoombea kisanii/wachumia tumbo/wanaowahadaa waumini wao na watu wengine kwamba wanafufua wafu, wanawaombea watu kuwa matajiri etc. Kuna baadhi ya Wakatoliki pia wanaokwenda kwenye hayo makanisa na kudhani matatizo yao yataisha. Wameenda, wameliwa fedha na hawakuponywa, kisha wakarudi na polepole wamegundua kwamba wametapeliwa kutokana na shida walizokuwa nazo. Hili ndilo tatizo. Hata Mimi naamini kama Mungu anaweza kuwasikiliza hao wachungaji, kwa nini nikimwomba mimi asinisikilize? Hivyo, Kanisa Katoliki linawa'alert' waumini wao na hata waumini wengine waangalie wasije wakatapeliwa kama wenzao walivyotapeliwa. Kama huo uponyaji ni wa kweli, kwa nini Tanzania bado watu wengi wanahangaika na matatizo ya kila aina na hawajasaidiwa kama ni rahisi hivyo?Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Nani kawapa mandate katoliki kihariri makasa wakati masanamu yao sisi hatuyasemi.Kanisa halipigi vita wachungaji (genuine) wenye karama ya uponyaji na wanaofanya hivyo kama sehemu ya huduma za makanisa yao. Kanisa Katoliki linapiga vita wachungaji wanaoombea kisanii/wachumia tumbo/wanaowahadaa waumini wao na watu wengine kwamba wanafufua wafu, wanawaombea watu kuwa matajiri etc. Kuna baadhi ya Wakatoliki pia wanaokwenda kwenye hayo makanisa na kudhani matatizo yao yataisha. Wameenda, wameliwa fedha na hawakuponywa, kisha wakarudi na polepole wamegundua kwamba wametapeliwa kutokana na shida walizokuwa nazo. Hili ndilo tatizo. Hata Mimi naamini kama Mungu anaweza kuwasikiliza hao wachungaji, kwa nini nikimwomba mimi asinisikilize? Hivyo, Kanisa Katoliki linawa'alert' waumini wao na hata waumini wengine waangalie wasije wakatapeliwa kama wenzao walivyotapeliwa. Kama huo uponyaji ni wa kweli, kwa nini Tanzania bado watu wengi wanahangaika na matatizo ya kila aina na hawajasaidiwa kama ni rahisi hivyo?
Una akili kisha wakati wa Misa unabusu sanamu ilichongwa Mwenge vinyago na mmakonde mnywa Smart ginShida nyie mnataka wakatoliki waendelee na trend zenu za kihuni
Kitu ambacho hujui katika ukatoliki kila kitu kinatiliwa maanani kwa uzito wake na utaratibu wake. Katika kanisa katoliki Kuna warsha, na semina na makongamano mbalimbali yanayohusu malezi, uchumi, huduma za kufunguliwa kiroho, makusanyiko ya watoto, vijana, akina mama, wababa, wazee, wanandoa, waseja, wajasiriamali na kadhalika
Kwahiyo kanisa katoliki linapokuambia njoo upate mafanikio sio kwa maombi tu Bali maombi na njia za kufuata kufikia hayo mafanikio. Na katika hizo warsha ambazo husimamiwa na makasisi au wasomi huduma za maombezi ni muhimu ambazo huambatana na huduma kamili za maisha ya watu na sio maombi tupu ya mdomo ndiyo maana tunaona haya makanisa ya mabati na mahema ni kama wahuni tu, wanawaombea watu sawa je mnawaonyesha njia ipi wachukue ili maombi yakaimarishe hizo njia?
Mimi binafsi tangu udogo nimelelewa katika utoto mtakatifu, viwawa, vyama kadhaa vya kitume na Sasa Niko pamoja na UWAKA na huko kote nimefanikiwa kutanua fikra bila kuruka hatua.
Mafanikio hayana miujiza ni mchakato ndo maana waSwahili husema kazi na sala au mnataka Sasa na wakatoliki nao waanze kufanya promo kwenye maredio na tv "ooh njoo ufunguliwe, njoo upokee" upokee kutoka kwa nani aliyevitelekeza?
Mnaibiwa sana ndugu zetu kwa kupenda mkato mnadanganyana huko kuwa wakatoliki hawana upako, hawaombei kwahiyo mnataka faragha za huduma za kiroho nazo ziambatane makamera na voice tapes si ndiyo? Huo ni uhuni na uigiza tu kama wa akina mkojani?
Sisi tuna akili kuliko nyie ndo maana hatuwezi kufanana njia
Kwahiyo, tuseme kama ni DAR parokia zote zaidi ya 100 zilihubiri kuhusu Mwamposa? We hujielewi..!!Jumapili iliyopota mapadre na maaskofu wote walimhuniri mwamposa tu.
Ni mlongo na anatafuta kiki kupitia kanisa namba moja duniani la catholic...Kwahiyo, tuseme kama ni DAR parokia zote zaidi ya 100 zilihubiri kuhusu Mwamposa? We hujielewi..!!
Kwani mtani na wewe ni mlongo?Ni mlongo na anatafuta kiki kupitia kanisa namba moja duniani la catholic...
Ni huyo huko juu...Kwani mtani na wewe ni mlongo?