Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

Uislam automatically umeifanya Ndoa sio kichaka cha mwanamke kumpanda mwanaume kichwani, kujichumia mali na kutunishiana misuli na mwanaume...
Iko hivi ndoa ya kiislam ina vunjika muda wowote na popote...
Ndoa ya kiislam mwanamke hana haki ya mgawanyo wa mali 50/50 au zaidi...
Ndoa ya kiislam inafungwa popote na muda wowote...
Ndoa ya kiislam haina masharti...
Ndoa ya kiislam ni ruksa kuongeza mke tena bila taarifa...
Ndoa ya kiislam unaweza kumuacha mke kwa talaka 1 ya onyo huku unaendelea kuish naye... Unaweza kumpa talaka ya 2... Unaweza kumpa talaka ya 3 ukamuacha halafu baadae ukamrudia tena ukitaka...🤣
Ndoa ya kiislam mahari ni ya mwanamke sio ukoo...
Automatically ndoa ya kiislam ilizingatia hali halisi ya ulimwengu na mabadiriko yake... Wakati ndoa za kikrsto zimejengwa ktk hisia na kiroho pekee...

Kwahiyo mdogo wangu umeona hizo sababu zilivyokaa vizuri kwa mwanaume wa kiislam kuiona ndoa ni jambo jepesi na hana sababu ya kuogopa ndoa...

Lakini pamoja na yote hayo, KATAA NDOA NI JAMBO LA MUHIMU KTK MAISHA YA SASA bila kujali wewe ni muislam au mkristo, sababu zipo nyingi tumekuwa tukizisema humu na mifano ni mingi sana...

KATAA NDOA uimarike kiuchumi, ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto ushenzi ushetani umasikini na kupoteza muda...

I hope I offend nobody...🤵❌👰
😅😅Kataa ndoa mkamatwe
 
Mafundisho ya ndoa za Kikristo yanawasaidia zaidi makahaba na michepuko zaidi wao ndio uyatumia kuwatekea wanaume kwa sababu wanajua mwanaume amekosa nini kwenye ndoa yke
 
Maandiko yapo wazi kabisa, mwanamke mpumbavu anastahili talaka kipo kifungu kinaruhusu talaka sema wachungaji hawataki kuwafundisha watu watakitumia kuwaacha hovyo wanawake.
Mwanamke mpumbavu ana sifa zipi.
Mfano akiwa ni
1.Mchawi, mwanamke mchawi inatakiwa auwawe maramoja ili asilete uharibifu ndani
2.Muuaji hapa ni kuua physical au emotional ( kauli chafu za laana kwa mume)
3.Asiye mtii mume feminist wametafsiri vibaya hii utii sio utumwa.
Bali utii ni kwa faida ya mwanamke kwa maana ili mwanaume awe na pesa ni lazima apate amani ya akili na moyo akiwa na pesa ataweza itunza familia yake.
. Mwanamke malaya huyu afai ataleta watoto wa nje kwenye ndoa,ataleta mikosi kumbuka ngono ni tools ya kusambaza laana na mikosi Toka nje na kuleta ndani ambayo ni lazima magomvi na umasikini hauwezi ishi ndani.
 
From my experience, Vijana wengi wa kiislamu wanaoa kwa tamaa za Kingono, plus urahisi wa kuingia na kutoka kweny ndoa zao ndo inawafanya wawe optimistic kuhusu swala la ndoa.

Ndoa za kikristo ni ngumu, it's a serious decision you have to make.
Kwa nini ndoa iwe ngumu huoni kua huo ni upuuzi unaongea na una support kabisa. Ndoa haitakiwi kua ngumu hata kidogo maana ni suala muhimu katika jamii.
 
What kind of misguidances?? Tell me...

Muslim countries zinaongoza kwa ushoga na inbreeding, what are you talking about?
20241106_210717.jpg
 
Kwa nini ndoa iwe ngumu huoni kua huo ni upuuzi unaongea na una support kabisa. Ndoa haitakiwi kua ngumu hata kidogo maana ni suala muhimu katika jamii.
Kumwita mtu mpuuzi kwasababu mmetofautiana uelewa ni upungufu wa akili.

Kubali ukatae Ndoa ni ngumu, as long as huyo unayeishi nae ni binadamu na wewe ni binadamu, ndoa lazima itakuwa na changamoto, sasa jinsi ya ku-deal na hizo changamoto ndo tumetofautiana, wakristo wana namna yao na waislamu wana namna yao, but kama una akili timamu ya udadavuzi utagundua kwamba, in perspective ndoa za kikristo ni ngumu kwasababu guidelines za ku-deal na changamoto za ndoa kwa upande kikristo ni ngumu kwa sababu zipo against human desires, but kwa waislamu zipo along with human desires, na ndio maana nimesema ndoa za kikristo ngumu kuliko za kiislamu.

Sihitaji kuongelea zaidi kuhusu hizo guidelines, natumaini unazijua.

Uwe na usiku mwema.
 
Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly".

Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists.

Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na mahusiano) watu ambao hawana imani au hawamini katika taasisi ya ndoa, karibia wote ni wakristo, ngoja tu niseme ukweli, sio "karibia wote", wote ni wakristo, sijajua kwa experience yenu, but for me huo ndio uhalisia.

Mimi ni mkristo na hii trend inanifikirisha sana, why is this so??
Je, ni malezi ya wazazi wa kikristo?
Je, ni mafundisho ya kikristo??
Ni kitu gani kimechangia kuwa hivi?

Katika vitu ambavyo hawa wenzetu waislamu nawapongeza sana, ni kwamba bado wana imani sana na taasisi ya ndoa, ni nadra sana kukuta kijana wa kiislamu anakwambia hatooa au haamini katika ndoa, au anasema "ndoa ni utapeli", wapo very optimistic kweny maswala ya ndoa, na wengi wao wanatamani kuoa na kuolewa mapema.

Kama una idea yoyote ebu tuambizane kwann hii ipo hivi?

Angalizo;
Sina data wala takwimu yoyote, ni kitu tu ambacho nimeki-observe kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Kiukwel kabisa ndoa za kikristo ni ngumu na zinaitaji uwe kamili zaid ya akili maana utalia mpaka jasho la meno
 
Kumwita mtu mpuuzi kwasababu mmetofautiana uelewa ni upungufu wa akili.

Kubali ukatae Ndoa ni ngumu, as long as huyo unayeishi nae ni binadamu na wewe ni binadamu, ndoa lazima itakuwa na changamoto, sasa jinsi ya ku-deal na hizo changamoto ndo tumetofautiana, wakristo wana namna yao na waislamu wana namna yao, but kama una akili timamu ya udadavuzi utagundua kwamba, in perspective ndoa za kikristo ni ngumu kwasababu guidelines za ku-deal na changamoto za ndoa kwa upande kikristo ni ngumu kwa sababu zipo against human desires, but kwa waislamu zipo along with human desires, na ndio maana nimesema ndoa za kikristo ngumu kuliko za kiislamu.

Sihitaji kuongelea zaidi kuhusu hizo guidelines, natumaini unazijua.

Uwe na usiku mwema.
Mimi nilichomaanisha ni ugumu wa kuingia kwenye ndoa na iyo mi guidelines yako unayosema na sio kuishi kwenye ndoa, kuishi kwenye ndoa obvious ni ngumu ndio mana waislamu wote talaka ipo. Na ugumu wa kuingia kwenye ndoa ni nyinyi tu wakristo wa kimatumbi ndio mnao ila wazungu wenye dini yao wala ilo swala sio gumu na wale hawana mambo sijui pingu au kifo kitutenganishe kwao hapana, Wazungu ni kama waislamu tu unaolewa kanisani ukizingua unapewa talaka na maisha mengine yanaendelea.
 
ugumu wa kuingia kwenye ndoa ni nyinyi tu wakristo
Hakuna ugumu wa kuingia kweny ndoa kwa wakristo, ugumu upo kweny kutoka, hapo ndo tulipo tofautiana, wafuasi wa mudy mnatoka muda wowote without any regard for the woman, ni kama vile umeoa mbuzi, hakuna settlement ya talaka, hana say yoyote kwasababu ushuhuda wake ni weak mbele ya mwanaume, ni kama vile mnafanya wanawake kuwa nusu watu
wakristo wa kimatumbi ndio mnao ila wazungu wenye dini yao wala ilo swala sio gumu na wale hawana mambo sijui pingu au kifo kitutenganishe kwao hapana,
Sawa mfuasi wa mudy wa vingunguti, kwaio we akili zako finyu na ushamba wako unadhani wazungu ndio standard?

Wazungu hawafati sheria za kikristo kweny ndoa zao, sio kila couple inayofunga ndoa ya kikristo(kanisani) itafata sheria hizohizo wakati wa kutengana.

Wazungu ndio wenye dini yao sio?? Ukristo umeanza Europe au middle East??
STUPID IGNORANT🚮
 
Hakuna ugumu wa kuingia kweny ndoa kwa wakristo, ugumu upo kweny kutoka, hapo ndo tulipo tofautiana, wafuasi wa mudy mnatoka muda wowote without any regard for the woman, ni kama vile umeoa mbuzi, hakuna settlement ya talaka, hana say yoyote kwasababu ushuhuda wake ni weak mbele ya mwanaume, ni kama vile mnafanya wanawake kuwa nusu watu

Sawa mfuasi wa mudy wa vingunguti, kwaio we akili zako finyu na ushamba wako unadhani wazungu ndio standard?

Wazungu hawafati sheria za kikristo kweny ndoa zao, sio kila couple inayofunga ndoa ya kikristo(kanisani) itafata sheria hizohizo wakati wa kutengana.

Wazungu ndio wenye dini yao sio?? Ukristo umeanza Europe au middle East??
STUPID IGNORANT🚮
Sasa kwa nini kue na ugumu wa kutoka? ndio mana wagalatia wa kimatumbi mnateseka sana kwenye ndoa maana kila mtu kichwa kwenye ndoa kuanzia mume hadi mke, huo mimi naita ni upumbavu hata Mungu hakutuagiza hivyo hata ukiangalia mababu zetu hawakuishi kwenye ndoa hivyo tumieni utashi nyinyi wagalatia ivi ni nani aliye waloga.? Mwanamke (mke) ni msaidizi wako na msaidizi lazima awe chini yako wewe na sio kwa maana umtese hapana.
 
Ukiachana na misingi ya kidini lakini pia kwa Mkristo ndoa ni pingu za maisha mkuu.......kutoka ni msala.

NB
Sema kwa tunayo yashuhudia kwa watu ambao wapo kwenye ndoa tayari na mambo ambayo wanayafanya nje! Aisee inakatisha sana tamaa.
 
Back
Top Bottom