Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

Ninacho wakubali wanaweza kuoa leo,kesho wakaacha na kesho kutwa wanavuta mwengine. Sasa Wakristo kuoa mchakato ,kuachana ndio usiseme ni mchakato wa mda mrefu mno.
 
Kuoa ni betting.
Kwenye ukristo ukichapisha mkeka wako (betslip) hakuna Cashout option.
Waislam unaweza kuoa Leo baada ya siku chache unaweza cashout.
Pia waislam kuna option ya kuongeza mwingine ukiona uliye nae anazingua
 
Ndoa za Kikristo ni nguma kuachana,
Waislamu wanaamini ndoa ni sehemu ya kukamilisha dini yao kwa mtu.
 
Back
Top Bottom