Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

😅😅Kataa ndoa mkamatwe
 
Mafundisho ya ndoa za Kikristo yanawasaidia zaidi makahaba na michepuko zaidi wao ndio uyatumia kuwatekea wanaume kwa sababu wanajua mwanaume amekosa nini kwenye ndoa yke
 
Maandiko yapo wazi kabisa, mwanamke mpumbavu anastahili talaka kipo kifungu kinaruhusu talaka sema wachungaji hawataki kuwafundisha watu watakitumia kuwaacha hovyo wanawake.
Mwanamke mpumbavu ana sifa zipi.
Mfano akiwa ni
1.Mchawi, mwanamke mchawi inatakiwa auwawe maramoja ili asilete uharibifu ndani
2.Muuaji hapa ni kuua physical au emotional ( kauli chafu za laana kwa mume)
3.Asiye mtii mume feminist wametafsiri vibaya hii utii sio utumwa.
Bali utii ni kwa faida ya mwanamke kwa maana ili mwanaume awe na pesa ni lazima apate amani ya akili na moyo akiwa na pesa ataweza itunza familia yake.
. Mwanamke malaya huyu afai ataleta watoto wa nje kwenye ndoa,ataleta mikosi kumbuka ngono ni tools ya kusambaza laana na mikosi Toka nje na kuleta ndani ambayo ni lazima magomvi na umasikini hauwezi ishi ndani.
 
From my experience, Vijana wengi wa kiislamu wanaoa kwa tamaa za Kingono, plus urahisi wa kuingia na kutoka kweny ndoa zao ndo inawafanya wawe optimistic kuhusu swala la ndoa.

Ndoa za kikristo ni ngumu, it's a serious decision you have to make.
Kwa nini ndoa iwe ngumu huoni kua huo ni upuuzi unaongea na una support kabisa. Ndoa haitakiwi kua ngumu hata kidogo maana ni suala muhimu katika jamii.
 
Kwa nini ndoa iwe ngumu huoni kua huo ni upuuzi unaongea na una support kabisa. Ndoa haitakiwi kua ngumu hata kidogo maana ni suala muhimu katika jamii.
Kumwita mtu mpuuzi kwasababu mmetofautiana uelewa ni upungufu wa akili.

Kubali ukatae Ndoa ni ngumu, as long as huyo unayeishi nae ni binadamu na wewe ni binadamu, ndoa lazima itakuwa na changamoto, sasa jinsi ya ku-deal na hizo changamoto ndo tumetofautiana, wakristo wana namna yao na waislamu wana namna yao, but kama una akili timamu ya udadavuzi utagundua kwamba, in perspective ndoa za kikristo ni ngumu kwasababu guidelines za ku-deal na changamoto za ndoa kwa upande kikristo ni ngumu kwa sababu zipo against human desires, but kwa waislamu zipo along with human desires, na ndio maana nimesema ndoa za kikristo ngumu kuliko za kiislamu.

Sihitaji kuongelea zaidi kuhusu hizo guidelines, natumaini unazijua.

Uwe na usiku mwema.
 
Kiukwel kabisa ndoa za kikristo ni ngumu na zinaitaji uwe kamili zaid ya akili maana utalia mpaka jasho la meno
 
Mimi nilichomaanisha ni ugumu wa kuingia kwenye ndoa na iyo mi guidelines yako unayosema na sio kuishi kwenye ndoa, kuishi kwenye ndoa obvious ni ngumu ndio mana waislamu wote talaka ipo. Na ugumu wa kuingia kwenye ndoa ni nyinyi tu wakristo wa kimatumbi ndio mnao ila wazungu wenye dini yao wala ilo swala sio gumu na wale hawana mambo sijui pingu au kifo kitutenganishe kwao hapana, Wazungu ni kama waislamu tu unaolewa kanisani ukizingua unapewa talaka na maisha mengine yanaendelea.
 
ugumu wa kuingia kwenye ndoa ni nyinyi tu wakristo
Hakuna ugumu wa kuingia kweny ndoa kwa wakristo, ugumu upo kweny kutoka, hapo ndo tulipo tofautiana, wafuasi wa mudy mnatoka muda wowote without any regard for the woman, ni kama vile umeoa mbuzi, hakuna settlement ya talaka, hana say yoyote kwasababu ushuhuda wake ni weak mbele ya mwanaume, ni kama vile mnafanya wanawake kuwa nusu watu
wakristo wa kimatumbi ndio mnao ila wazungu wenye dini yao wala ilo swala sio gumu na wale hawana mambo sijui pingu au kifo kitutenganishe kwao hapana,
Sawa mfuasi wa mudy wa vingunguti, kwaio we akili zako finyu na ushamba wako unadhani wazungu ndio standard?

Wazungu hawafati sheria za kikristo kweny ndoa zao, sio kila couple inayofunga ndoa ya kikristo(kanisani) itafata sheria hizohizo wakati wa kutengana.

Wazungu ndio wenye dini yao sio?? Ukristo umeanza Europe au middle East??
STUPID IGNORANT🚮
 
Sasa kwa nini kue na ugumu wa kutoka? ndio mana wagalatia wa kimatumbi mnateseka sana kwenye ndoa maana kila mtu kichwa kwenye ndoa kuanzia mume hadi mke, huo mimi naita ni upumbavu hata Mungu hakutuagiza hivyo hata ukiangalia mababu zetu hawakuishi kwenye ndoa hivyo tumieni utashi nyinyi wagalatia ivi ni nani aliye waloga.? Mwanamke (mke) ni msaidizi wako na msaidizi lazima awe chini yako wewe na sio kwa maana umtese hapana.
 
Ukiachana na misingi ya kidini lakini pia kwa Mkristo ndoa ni pingu za maisha mkuu.......kutoka ni msala.

NB
Sema kwa tunayo yashuhudia kwa watu ambao wapo kwenye ndoa tayari na mambo ambayo wanayafanya nje! Aisee inakatisha sana tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…