Ninacho wakubali wanaweza kuoa leo,kesho wakaacha na kesho kutwa wanavuta mwengine. Sasa Wakristo kuoa mchakato ,kuachana ndio usiseme ni mchakato wa mda mrefu mno.
Kuoa ni betting.
Kwenye ukristo ukichapisha mkeka wako (betslip) hakuna Cashout option.
Waislam unaweza kuoa Leo baada ya siku chache unaweza cashout.
Pia waislam kuna option ya kuongeza mwingine ukiona uliye nae anazingua