Radioactivity aligundua Bequerel, huyo alifanya innovation tu.Marie Curie kamkuta Pierre utafiti wake umejikita kwenye Crystals ndiyo akambadilisha na kuhamia kwenye radioactivity. Siyo sahihi kusema kwamba eti ni Pierre ndiye alimpush Marrie katika utafiti wake. The woman was workaholic and totally committed to her research. Naam! Ndiye mwanamke wa kwanza kupata Ph.D ya Fizikia Sorbonne....na kufundisha pia!
Unafahamu kuwa Marie Curie alipata zawadi ya Nobel nyingine miaka mingi baada ya mumewe kufariki? Mpaka leo bado anashikilia rekodi ya kuwa mwanamke pekee aliyewahi kushinda zawadi hiyo mara mbili?
Na utafiti wake na binti yake Irene katika Kemia nao ukaja kumpatia Irene Nobel nyingine?
This is one of her best biographies. A true giant of Science! 👇👇👇
View attachment 2643845
Hakuna mwanamke inventor duniani , wengi wana-innovate tu kufanya kitu kuwa Bora zaidi.