Samahani, lakini niseme wazi kabisa, sijaona pointi yoyote ya maana katika andiko lako hili.Kwanza kabisa hata kama mwanamke anakua na mambo mengi ambayo ni nature yake mfano anaweza kuwa na akili darasani ila akaangukia kupewa mimba ama kuwa distracted na mambo ya kihisia ambayo hayahusiani na mfumo dume ..mfano naturaly mwanamke ni mleaji an maumbile yanayomuwezesha kuwa mama na hiyo sio mfumo dume ndio maana hata mawaziri wanawake wanabeba mimba wanakaa nyumbani wanalea regardless ana uwezo upi kichwani...Narudia tena sio manyanyaso ni majukumu
Point ya pili we unadahani mwanaume mweusi hawakuwahi kuwa wanasayansi kwa miaka hiyo ni kwasababu ya majukumu?? MKUuu wazungu wanatuzidi akili
Kuwa na mimba kunamzuia mwanamke asifanye shughuli zake za kila siku? Unaishi wapi wanakofanya mambo ya namna hiyo.
Halafu hilo la "...wazungu wanatuzidi akili"; sina muda wa kujibu jambo la namna hii; lakini linafanya nijue ngazi yako maishani uliyofikia hadi sasa. Sidhani kuwa bado unayo nafasi ya kujifunza zaidi. Ni kwamba umekwishafikia kikomo chako cha kujifunza na kuyaelewa maswala ya namna hii.
Inatosha tu hapa nikupe pole, kwa upotofu wa akili kiasi hiki ulichoonyesha hapa.