iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 369
- 253
Kibongobongo mabinti hiyo ni kazi yao.Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe? Kwani mabinti wamekuwa salama ghafla au wamesahaulika kwenye hili jinamizi linaloendelea nchini?
You better watch your back
Una mtoto wa kike?Kibongobongo mabinti hiyo ni kazi yao.
Tatizo ni wanaume tu.
Nashangaa wa kike tunaona sahihi wa kiume wrongWafiraji na wafirwaji hawaendi mbinguni
Nani anaona sahihi?Nashangaa wa kike tunaona sahihi wa kiume wrong
Kwa nini swali hili ni muhimu, weka hoja dhahania, itasimama kama nina mtoto wa kike au sina.Una mtoto wa kike?
Hatuitaki kwanza hiyo mbingu. Tutafirana humu humu mpaka yesu arudi.Wafiraji na wafirwaji hawaendi mbinguni
Ajabu kabisa mkuuNa hapa ndio utaona unafiki wa wabongo. Huwa nashangaa bongo fleva 90% zinahamasisha kumla mwanamke jicho.
Sasa hawaoni mtu akizoea huo mchezo kwa wanawake iko siku atajaribu kwa wanaume wenzake!!
Kama issue ni linda mgongo iwe kwa jinsia zote.
una hoja lakini kwa nini unatumia data za uongo?Na hapa ndio utaona unafiki wa wabongo. Huwa nashangaa bongo fleva 90% zinahamasisha kumla mwanamke jicho.
Sasa hawaoni mtu akizoea huo mchezo kwa wanawake iko siku atajaribu kwa wanaume wenzake!!
Kama issue ni linda mgongo iwe kwa jinsia zote.
Chunga usinuke maiviiii, linda mgongo wako.Kampeni za walevi hizo zusikupotezee wakati.
Wapi umeona kampeni za kulinda makalio ya watoto wa kikeNani anaona sahihi?
wewe uliwahi kuanzisha hiyo kampeni halafu ukapigwa marufuku?Wapi umeona kampeni za kulinda makalio ya watoto wa kike
Wakati zima-moto inapiga kelele ya kuudhi, watu wenye akili hukimbilia kuokoa nyumba inayoungua badala ya kulaumu sauti ya king'orawewe uliwahi kuanzisha hiyo kampeni halafu ukapigwa marufuku?
Yes maana ya kusema 90% ni kwamba ni kiasi kikubwa sana. Hayo maneno kusafisha mtaro, kuzibua mtaro, sim2, mpalange, tope n.k yote yanalenga kitu hikouna hoja lakini kwa nini unatumia data za uongo?
Ni kweli 90% wana support huo usodoma?
Anzisha kampeni ya kupinga ufiraji wa wanawake, hakuna mwenye hati miliki ya kuanzisha hizo kampeni.Wakati zima-moto inapiga kelele ya kuudhi, watu wenye akili hukimbilia kuokoa nyumba inayoungua badala ya kulaumu sauti ya king'ora