Walibakia wamasai km kivutio na wenyewe wakawaingilia kwamba wanaharibu hifadhi hawatakiwi kuishi na Wanyama Ngorongoro wakawatimua wote, waliobakia ni wale jamaa wa kule maporini Wahadzabe ndio kivutio cha mwisho mwisho na chenyewe wanaenda kukipoteza very soon watawaambia watoke kule maporini wanaharibu mapori kwa kunya bila kua na vyoo kwa hio watakufa na magonjwa ya mlipuko waje wasome shule wawe mtaji wa Serikali baada ya hapo vivutio vyote vitakua vimeishaNamaanisha utalii kwa Tanzania bara ni mdogo sana ukilinganisha na Kenya, h
So wanakuja Zanzibar kama destination yao ya kwanza iliyowaleta,Watalii wengi wanaofika Zanzibar hawaishii Zanzibar, wanatoka wanakuja kuangalia maeneo mengine ya Tanzania pia. The very same tourists
We ni mpuuzi ,umezaliwa na kukulia mpimbwe huko machakani ,exposure ya kuijua Kenya utatoa wapi mshamba wewe ? .Wabongo wengi wapumbavu na ujuaji wa kipuuzi na exposure zero .Mnaishi kwenye bubbles hamuelewi watu wanaishi je huko nje , kazi kula miguu na utumbo wa kuku tu ,akili zero.Kenya hata sensa ni ya mchongo. Hawana uhakika wako wangapi
Sio hotels tu mpaka shule na private hospitals kibao ,wakenya wamejaa . Kenyans have brains na ni wachapa kazi haswa ,achana na hizi takataka zilizojaa vinyesi kwenye vichwa na ujuaji wa kishamba za humu bongo.Hata kama mimi nina biashara yangu , definitely nitaajiri Mkenya na si mbumbumbu za humu Bongo zisizo na akili ,exposure wala ethicsNdio maana mahotel mengi ya bongo yalikuwa yanaajiri Wakenya.
Unagombana na usiyemjua kwa kuangalia ID.We ni mpuuzi ,umezaliwa na kukulia mpimbwe huko machakani ,exposure ya kuijua Kenya utatoa wapi mshamba wewe ? .Wabongo wengi wapumbavu na ujuaji wa kipuuzi na exposure zero .Mnaishi kwenye bubbles hamuelewi watu wanaishi je huko nje , kazi kula miguu na utumbo wa kuku tu ,akili zero.
Zanzibar ni TanzaniaSo wanakuja Zanzibar kama destination yao ya kwanza iliyowaleta,
Hakuna watu wanapenda hizo sifa ulizoandika hapo juu kama Wakenya. Tatizo mnatumia tu Jamii Forums hamuendi sehemu nyingine kufuatiliaWatanzania mnapenda sifa msizonazo, kila kitu utasikia 'jengo la kwanza la kisasa Afrika nzima, mara uwanja mkubwa kuliko woye chini ya jangwa la sahara, sijui treni ya kisasa barani afrika na ujinga mwingine mwingi. Bahati mbaya wazungu hasa wawekezaji wana vitu tofauti wanavyo zingatia katika uwekezaji wao nchi za afrika. Na ukitaka kujua kuwa kenya wemetuzidi angalia foreign companies na mashirika ya kimataifa yaliyo na ofisi Kenya, hata Fifa juzijuzi wameamua kufungua ofisi ya kanda Nairobi. Muhimu wanachozingatia ni Skilled labour kubwa na rule of law- sheria za kenya zimesimama na mahakama iko huru.
Hahaa hii ni kweli jamaa mpaka brother K ni wao , Ila kiutani utani wanachukua point nadhani hayo wanafanya makusudi kama wafanyavyo kwenye vivutio kama Mt Kilimanjaro n.k kuwa vipo kwaoHakuna watu wanapenda hizo sifa ulizoandika hapo juu kama Wakenya. Tatizo mnatumia tu Jamii Forums hamuendi sehemu nyingine kufuatilia
Wao wanajiita hadi The Capital of Africa. Wakenya wanapenda sana sifa za kijinga. Ungejua wakenya wameanzisha magroup mangapi ya dissing FB
- Kenya vs Tanzania
- Kenya vs Nigeria vs South Africa vs Ghana
- Kenya vs Nigeria
Fuatilia post zinazosifia Tanzania kwenye mitandao ya kijamii, ukiingia kwenye comment section lazima utakuta wakenya wanaanza kupondea na kwenye post hata Kenya haijatajwa, Tanzania inawawasha sana. Yani hao watu unaowatetea ndio toxic kabisa. Wanapenda pride zisizo na faida ilihali wengi wao wanaishi maisha magumu
Demokrasia msisahau. Hakuna kubambikizana kesi huko, Raila na Ruto wanaangalia mpira pamoja, sio sisi sa100 anagombea Simba wa kizimkazi Yuko mahabusu🤣Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Ni kwamba kila nchi inahitaji Foreign Direct Investment (FDI), hata China na US zinahitaji FDI ili kutengeneza ajira kwa wananchi wake na kukuza GDP. Ndio maana unaona Trump anaangaika na tariffs ,anafanya hivyo ili kulazimisha wawekezaji wajenge viwanda ndani ya US au wakubali bidhaa zao zisinunulike sababu ya bei kuwa juu.Mashirika ya kigeni na makampuni ya wazungu kufungua branch Kenya ina manufaa gani Kenya??
Wakenya wako aggressive kwenye kila aspect of life, in politics, the economy, social, everything, and it works for them very well sababu they meant it. Angalia wanavyo shangilia timu zao, wakimbiaji wao n.k, kwenye utaifa tofauti zao za kisiasa usimama.Hakuna watu wanapenda hizo sifa ulizoandika hapo juu kama Wakenya. Tatizo mnatumia tu Jamii Forums hamuendi sehemu nyingine kufuatilia
Wao wanajiita hadi The Capital of Africa. Wakenya wanapenda sana sifa za kijinga. Ungejua wakenya wameanzisha magroup mangapi ya dissing FB
- Kenya vs Tanzania
- Kenya vs Nigeria vs South Africa vs Ghana
- Kenya vs Nigeria
Fuatilia post zinazosifia Tanzania kwenye mitandao ya kijamii, ukiingia kwenye comment section lazima utakuta wakenya wanaanza kupondea na kwenye post hata Kenya haijatajwa, Tanzania inawawasha sana. Yani hao watu unaowatetea ndio toxic kabisa. Wanapenda pride zisizo na faida ilihali wengi wao wanaishi maisha magumu
Una akili ndogo sana. Ndogo mnoooooooooooooooHili shithole country lilitakiwa liungane na Kenya lifunzwe namna ya kuwa civilized na jinsi dunia inavyoenda , tatizo lile zee li communist kikaenda kuungana na mataahira yasiyo na akili visiwani huko ,angalia results mpaka leo ,tatizo kubwa .Tanganyika inalisha matabularasa ya visiwani huko yasiyo na shukurani
Sasa mbona Tanzania ikifanya hivyo unaponda? What's with the self hate?Wakenya wako aggressive kwenye kila aspect of life, in politics, the economy, social, everything, and it works for them very well sababu they meant it. Angalia wanavyo shangilia timu zao, wakimbiaji wao n.k, kwenye utaifa tofauti zao za kisiasa usimama.
Kenya hakuna utaifa.Wakenya wako aggressive kwenye kila aspect of life, in politics, the economy, social, everything, and it works for them very well sababu they meant it. Angalia wanavyo shangilia timu zao, wakimbiaji wao n.k, kwenye utaifa tofauti zao za kisiasa usimama.
Nairobi is a regional flighthub na inapokea more cheap flights kuliko Dar Kili airports.Wazungu wengi wanashukia Kenyata Airport Nairobi kwa sababu mwanzo KIA walikua na Tozo kubwa kuliko wenzetu ndio chanzo cha ndege nyingi kuukimbia uwanja wetu iliwafanya wageni wengi kushukia kule harafu tunawafata na shuttles/Coaster na kuwaleta Arusha ila kama wangeweka mazingira ya Tozo mazuri nadhani ndege nyingi zingeshukia hapa hapa KIA ingawaje sasa hivi KLM wameanza kutua hapo KIA.