silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Kenya inapendwa kwa sababu walifuata mfumo wa kibepari walipopata uhuru tofauti na Tz, lakini pia kihistoria Kenya ilikua ni settler colonial country ina maana wazungu wengi walikua wanaishi kabla ya uhuru na baada ya uhuru hawakubughudhiwa wala kutaifishwa mali zao, wakati yaliotokea Tz nyote mnayajua watu walinyanganywa mali zao kwa kisingizio cha ujamaa, lakini viwanda vingi vilitaifishwa na kupelekea hali ngumu ya uchumi na wageni wengi kukimbia.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yeti nibya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Mkuu ngoja tubadilishane baadhi ya vitu inawezekana kweli sijui ila mimi nachojua Tanzania tuna vivutio vingi sana kushinda Nchi nyingi tatizo hatuna vifaa bora vya usafirishaji wa hao wageni angalia kodi ya Land Cruisers hao wa Namibia na Botswana au SA wao gharama za vitu vinavyohusiana na utalii vipo chini sana hata baadhi ya mbuga zao zina bara bara ya lami na Toyota hilux mtu anaenda nayo porini tofauti na sisi kwetu zinatakiwa gari ngumu kutokana na bara bara zetu ila sio kweli kwamba Namibia watuzidi idadi ya wageni mkuu hapana ingwaje nao wanafanya vizuri kwenye hiyo sekta.
Nyie wakati mnashangaa flyovers enzi za Magufuli Kenya walikuwa nazo tangu enzi za Kibaki, halafu Kenya majimbo mengi tu yana flyovers tofauti na bongo ambapo ni Dar tu.Hivi ni kweli Kenya imetuzidi miundombinu?
Sasa tunaongelea kwa sasahivi, sio historia tena.Nyie wakati mnashangaa flyovers enzi za Magufuli Kenywa walikuwa nazo tangu enzi za Kibaki, halafu Kenya majimbo mengi tu yana flyovers tofauti na bongo ambapo ni Dar tu.
Jomo Kenyatta Airport ulikuwa uwanja mkubwa kimataifa kuliko Dar es Salaam muda mrefu sana.
Kenya ndio imekuwa nchi ya kwanza kuwa na SGR Africa Mashariki.
Misri wana mapiramidi na historia za mafarao tu ila ndio nchi ya tatu kwa kupokea watalii wengi Africa.hatuna vivutio vingi kushinda nchi nyingine bali tuna vivutio tofauti, kila nchi ni unique ndiyo maana nimekupa mfano wa namibia wana jangwa na kuna watu wanapenda jangwa watakwenda huko, kuna atlantic ocean ambayo maji yake ni cooler klk indian ocean ya kwetu kuna watu wanapenda antlantic ocean klk indian ocean hivyo watakwenda huko, hakuna joto na high humidity kama dar kwetu n.k.
kila nchi ina upekee wake, sasa jinsi gani nchi xzy inaweza kutumia upekee wake kutengeneza fedha kwa utalii hilo ni swala lingine kabisa na linahitaji utaalamu wake ...
Afadhali umetumia neno karibia meaning that Tanzania ina zaidi kuliko Kenya.karibia kila tulichonacho wanacho pia kwa namna moja au nyingine, narudia tunadanganywa sana, isitoshe kila nchi ina upekee wake hapa duniani, mfano namibia inapata watalii wengi per head klk hata tanzagiza napo utasemaje? ...
Ila kwenye utalii wametuacha padogo. Kwa hiyo msijiachie saaana kuoverrate Kenya as if inapokea watalii milioni 10Kenya imekaa kisomi zaidi kuliko Tz. Wakenya wengi wameajiriwa huko Ulaya kwa sababu ya elimu yao. Wanaitangaza Kenya.
Dar es salaam kuna mbu wengi sana.mzungu hapatani na mbu hata kidogo.Nairobi mbu ni wachache sio kama Dar.pia wenzetu wanajua kufanya biashara muda mrefu wana exposure ya vitu vingi.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
WanajielewaUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Kisomi maana yake nini mkuu? FafanuaKenya imekaa kisomi zaidi kuliko Tz. Wakenya wengi wameajiriwa huko Ulaya kwa sababu ya elimu yao. Wanaitangaza Kenya.
Karibu kila jimbo Kenya lina chuo kikuu kikubwa,Sasa tunaongelea kwa sasahivi, sio historia tena.
Kwanza miji ya Kenya inajengwa tofauti na Tz sisi miji yetu tunapenda kuitanua kwa nje tofauti na miji ya Kenya ambayo kila service wanaweka city centre, maana yake kutakuwa na congestion mwisho wa siku flyover zitahitajika tu
Ila kwa sasa Kenya ni kama hamna jipya kwa Tz kama ni infrastructure sasahivi nchi zote zinazo, kama kuna utofauti basi ni mdogo sana
Hakuna cha kuongezaaa ,nataka tu nimuambie mtoa mada kwamba hata hizi kura zetu huko umoja wa mataifa inatuweka kama taifa dhaifu sana lisilopenda haki kama CCM ilivyoKenya ni maarufu kuliko Tanzania Duniani. Sababu ni nyingi tu.
Chache
1. Post independence wageni hawakufukuzwa/hawakukimbia.
2. Lugha
3. Kufanya vizuri michezo kimataifa kumewafanya wahulikane zaidi. Mtu akiskia athletics kwa Africa taifa la kwanza Kenya
4. Wakenya wapo wengi nje ya nchi kuliko watanzania[sina data ila nadhani nipo sahihi] imesaidia pia.
5. Mrengo wa nchi toka wanapata uhuru walijitanabaisha na mataifa ya kimagharibi na hadi leo umeona Kenya akipiga kura UN ni tofauti na sisi. Haya mataifa ndiyo yenye wasafiri wengi.
6. Obama amewabeba pia.....Obama ni moja ya watu maarufu saana Duniani.
7. Makampuni mengi ya ndege kutua Jomo Kenyata....
Insights nzuri, kuongezea tu hapa, mashirika mengi ya kimataifa ofc zao za Africa ziko Kenya, NGOs kubwa kubwa pia na mashirika mengine ya kibiashara Wana makao pale...halafu pia Kenya business entry yao ni rahisi zaidi...Kenya ni maarufu kuliko Tanzania Duniani. Sababu ni nyingi tu.
Chache
1. Post independence wageni hawakufukuzwa/hawakukimbia.
2. Lugha
3. Kufanya vizuri michezo kimataifa kumewafanya wahulikane zaidi. Mtu akiskia athletics kwa Africa taifa la kwanza Kenya
4. Wakenya wapo wengi nje ya nchi kuliko watanzania[sina data ila nadhani nipo sahihi] imesaidia pia.
5. Mrengo wa nchi toka wanapata uhuru walijitanabaisha na mataifa ya kimagharibi na hadi leo umeona Kenya akipiga kura UN ni tofauti na sisi. Haya mataifa ndiyo yenye wasafiri wengi.
6. Obama amewabeba pia.....Obama ni moja ya watu maarufu saana Duniani.
7. Makampuni mengi ya ndege kutua Jomo Kenyata....
Kama nchi ina watu wengi kutoka Ulaya na America lazima utaona uwepo wa hivyo vitu ilihali Wakenya wenyewe wanaishi maisha magumu kuliko TanzaniaKaribu kila jimbo Kenya lina chuo kikuu kikubwa,
Nyumba binafsi za watu na fremu za biashara Kenya ni nzuri na bora kuliko Tanzania.
Hapo nimetaja utofauti wa Kenya na Tanzania....Hakuna cha kuongezaaa ,nataka tu nimuambie mtoa mada kwamba hata hizi kura zetu huko umoja wa mataifa inatuweka kama taifa dhaifu sana lisilopenda haki kama CCM ilivyo