Nairobi ni ndogo sana, na imejaa kila mkenya anataka kukaa Nairobi. Ndip maana imejaa sana na kusababisha foleni kubwa.Nyie wakati mnashangaa flyovers enzi za Magufuli Kenya walikuwa nazo tangu enzi za Kibaki, halafu Kenya majimbo mengi tu yana flyovers tofauti na bongo ambapo ni Dar tu.
Jomo Kenyatta Airport ulikuwa uwanja mkubwa kimataifa kuliko Dar es Salaam muda mrefu sana.
Kenya ndio imekuwa nchi ya kwanza kuwa na SGR Africa Mashariki.
Uko sahihi sanaaa. Haswa Mrengo baada ya Uhuru!Kenya ni maarufu kuliko Tanzania Duniani. Sababu ni nyingi tu.
Chache
1. Post independence wageni hawakufukuzwa/hawakukimbia.
2. Lugha
3. Kufanya vizuri michezo kimataifa kumewafanya wajulikane zaidi. Mtu akiskia athletics kwa Africa taifa la kwanza Kenya
4. Wakenya wapo wengi nje ya nchi kuliko watanzania[sina data ila nadhani nipo sahihi] imesaidia pia.
5. Mrengo wa nchi toka wanapata uhuru walijitanabaisha na mataifa ya kimagharibi na hadi leo umeona Kenya akipiga kura UN ni tofauti na sisi. Haya mataifa ndiyo yenye wasafiri wengi.
6. Obama amewabeba pia.....Obama ni moja ya watu maarufu saana Duniani.
7. Makampuni mengi ya ndege kutua Jomo Kenyata....
hiki chama chenu cha kufunga sasaMungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Tanzania ndio inatembelewa zaidi na watalii kutoka Burundi, Rwanda, DRC na Kenya.Unahisi mtalii toka Burundi na mtalii toka Norway wanalipa sawa?
Kenya wana Attract sana watalii wanao ongea kingereza kama Usa na UK, wametupita ila linapokuja Nchi ambazo hazitumii kingereza kama Ufaransa, Italy, Urusi, Poland etc tumewapita sana.
Pia Tanzania kuna vivutio ambavyo ni premium watu wanalipa pesa ndefu, sehemu kama Thanda ipo top 10 Dunia nzima kwa hotel zenye Gharama. dola 33,000 kwa siku kwa kichwa kimoja na unakuta kuna msururu wa Booking.
Hapo bado premium service Nyengine Serengeti na Ngorongoro ambazo zinajulikana worldwide na "Elites", ni rahisi kumdanganya kayumba wa Usa na Uingereza kwamba Kilimanjaro ipo Kenya ila huwezi wadanganya hao Elites ambao wanajua kabisa Serengeti ni real deal.
Faida ipi??Jamaa walikua mbele ya muda kitambo. Ndo faida ya kuwaacha wakoloni muda mrefu
Population yao ni almost sawa na sisi, service zinahudumia population, kama una eneo dogo na population kubwa ni excuse ya kutojenga Hospitali za kuhudumia watu wote?Ungefanya homework yako ungejua Kenya kwa ukubwa ni kama nusu tu ya Tanzania.
Kampuninza utalii za Kenya na ndege zinatangazia watalii kuwa zitawaleta Kilimanjaro, Ngorongoro, Mikumi, Serengeti na Tarangire.Tanzania ndio inatembelewa zaidi na watalii kutoka Burundi, Rwanda, DRC na Kenya.
Kenya wako milioni 56, Tanzania wako milioni 68.Population yao ni almost sawa na sisi, service zinahudumia population, kama una eneo dogo na population kubwa ni excuse ya kutojenga Hospitali za kuhudumia watu wote?
Na ukiwa na Eneo kubwa ni ngumu sana kupeleka Barabara na Hospitali kuliko na Eneo dogo.
Kenya hata sensa ni ya mchongo. Hawana uhakika wako wangapiKenya wako milioni 56, Tanzania wako milioni 68.
Tembelea sehemu za huduma mbalimbali kama vile mahotelini au hata kwenye airports. Ni rahisi kukereka ukiwa bongo kuliko ukiwa Kenya. Huduma nyingi za wakenya ziko more professional. Hii ni kwa experience yangu mimi nikiwa MTZ niliyetembelea nchi zote jirani na pia mikoa karibu yote ya Samialand.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Ndio maana mahotel mengi ya bongo yalikuwa yanaajiri Wakenya.Tembelea sehemu za huduma mbalimbali kama vile mahotelini au hata kwenye airports. Ni rahisi kukereka ukiwa bongo kuliko ukiwa Kenya. Huduma nyingi za wakenya ziko more professional. Hii ni kwa experience yangu mimi nikiwa MTZ niliyetembelea nchi zote jirani na pia mikoa karibu yote ya Samialana.
Wabongo wengi ni wavivu saa, kwasababu hawajapigwa na maisha.Tembelea sehemu za huduma mbalimbali kama vile mahotelini au hata kwenye airports. Ni rahisi kukereka ukiwa bongo kuliko ukiwa Kenya. Huduma nyingi za wakenya ziko more professional. Hii ni kwa experience yangu mimi nikiwa MTZ niliyetembelea nchi zote jirani na pia mikoa karibu yote ya Samialana.
UN wanahamishia more offices in Nairobi,Wazungu gani hao unaowauliza…..
Tanzania ni prime tourism tourism destination kwa sasa.
Numbers zinasupport hili
Ndio ila haizidi Kenya, asilimia 40 ya hao watalii Kenya inayo hesabu ni wa hapa hapa Africa, Tanzania na Uganda pekee ni watu zaidi ya laki 4.Tanzania ndio inatembelewa zaidi na watalii kutoka Burundi, Rwanda, DRC na Kenya.
Sawa Chukua hizo Data gawanya kwa hizo service uone sasa.Kenya wako milioni 56, Tanzania wako milioni 68.
In 2024, Tanzania recorded USD 3.9 billion in tourism revenue, with 1,748,500 tourist arrivals, contributing 17.2% to its GDP.Kwa upande huu uko sawa…..
Generally, mazingira yao yanawafavour wazungu.
Ila kama tunazungumzia Utalii “ their favourite country” obvious ni Tanzania.
Namba zinazesema hivi, na i can share various threads from reddit confirming this.
Ila kama ni wawekezaji, hao kweli wanapenda Kenya.
Unaongelea Kenya ama Ulaya? Kama ni Kenya basi sio kwelisana tu, kwa mfano tafuta barabara zenye lami kenya ni nyingi kuliko kwetu ilihali kwa eneo ni kenya ni ndogo kuliko kwetu; Wana mashule mengi na pia wameimarisha shule zao za serikali ndio bora zaidi kuliko za binafsi, Wana hospitali nzuri nyingi, wana wafanyakazi wanaojituma sio hawa wa kupiga blaa blaa; wana wasomi wengi, wana viwanda vingi, wanakusanya kadi nyingi sana ukilinganisha na sisi nk nk nk