Kwanini Kikwete hakumshauri Samia amteue Prof. Mwandosya kuwa Makamu wake wa Rais?

Kwanza Kikwete ana roho nzuri sana hata kumpa huyu mtu wako wadhifa wowote katika awamu yake

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza Kikwete ana roho nzuri sana hata kumpa huyu mtu wako wadhifa wowote katika awamu yake

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako, alitaka asimpe uwaziri. Wazee wakamwambia utajichora vibaya mno na kuonekana una chuki binafsi kwa kuwa kila mtu anajua kuwa huyu jamaa ni kichwa sana na mchapakazi vibaya mno, na alijidhihirisha hivyo chini ya Mkapa. Akamuweka Ofisi ya Raisi Mazingira, akakuta umaarufu wake unapanda sana Umoja wa Mataifa, ikawa kama kampiga chura teke. Akamuondoa huko na kumweka Wizara ya Maji akiona kamficha huko na atakuwa bored, na huko ndio Prof Mwandosya akajizolea umaarufu juu ya suala la Mto Nile, nk. Ndipo likaja jaribio la kumuua Prof. Mwandosya kwa kutumia radioactive material.

Kumbuka kwamba Kikwete aljua uwezo wa Prof. Mwandosya kwenye mambo ya energy, lakini hakuthubutu kumpa wizara ya energy akihofia ingemfanya Prof. Mwandosya awe very popular kutokana na umahili wake ambao ungemwezesha kutatua matatizo ya umeme nchini na uwekezaji wa mafuta na gesi.

Kwa hiyo Kikwete alijaribu sana kum-marginalize Prof. Mwandosya, mwisho akaona haiwezekani abadilishe mbinu, adui mlete karibu. Akajifanya rafiki yake akamtembelea hadi kijijini kwao kule Unyakyusani kufungua shughuli fulani ya NGO ya Mrs Mwandosya sijui. Akiwa naye Ofisi ya Raisi alimhakikishia 100% kwamba atam-support awe the next president, kumbe anamwingiza mjini, ana jina la Membe mfukoni, na inasemekana Membe na Kikwete wana uhusiano wa kinduggu. Na Prof. Mwandosya akamwamini Kikwete hakufanya mkakati wa kuwa raisi nje ya influence ya Kikwete, his biggest mistake ambayo najua alijutia.
 
Kwanza Kikwete ana roho nzuri sana hata kumpa huyu mtu wako wadhifa wowote katika awamu yake

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Wala si kuwa na roho nzuri. Kikwete was very cunning. He laid the bait and Prof. Mwandosya took it hook, line and sinker!

Trusting Kikwete and thinking he was an ally after years of rivalry between them was the biggest mistake Prof. Mwandosya made in his political career. It probably cost him the presidency
 
Wazee mbona mmeanza mapema saana? Si mngesubiri angalau ifike 2024?
Acha kuwa politically shallow. This has nothing to do with uchaguzi ujao. Kwa kumsaidia nani sasa kama suala ni kuanza mapema, Prof. Mwandosya? Yaani kweli kwa akili yako unaona Prof. Mwandosya yuko kwenye line ya kugombea turaisi 2025 ili tumsaidie hapa leo hii?
 
Kwa hiyo makamu wa Rais aliyepo hafai ? Kila mtu na wakati wake.
Kuna Raisi mmoja tu alichagua Makamu wa Raisi kwa nia ya kumfanya aje awe Raisi, na kwa kuangalia uwezo wake - Benjamin William Mkapa, alipomteua Omar JUma kuwa Makamu wa Raisi kwa matarajio aje awe Raisi.

Lakini wanadamu si wema bwana, wakasema eti watu wa bara tumemfanya awe na silka ya kukana dini yake. Wakafika mbali sana. Iliniuma sana. Yaani duniani watu ni wabaya sana, wana ubaya wa kufisha!

Dr. Omar Juma angekuwa one of the best presidents in Tanzania, a wise, no nonsense man, very pragmatic. Very practical. Very realistic. Lakini kuna watu wakaona hakuwa na maslahi kwao, anawasaliti.
 
Mapenzi yako kwa Mwandosya yanakufanya hadi unaingia chaka,Membe na JK hawana undugu wowote.
 
Mapenzi yako kwa Mwandosya yanakufanya hadi unaingia chaka,Membe na JK hawana undugu wowote.
Nilisema inasemekana. Kwani wewe unayajua yote ya wazazi wao? Ulishaambiwa hapa Dar asilimia 15% ya watoto sio wa baba wanaowalea bila hao baba kujua hilo.
 
-hapo uliposema prof.Mwandosya anajua sheria za mikataba kuliko Wanasheria like prof kabudi hapo umepuyanga au pengine uwezo wako mdogo
 
Duh kumbe mengi tulikuwa hatujui kuhusu wewe Prof. Endelea maana si wengine wakati huo akili zetu sijui zilikuwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-hapo uliposema prof.Mwandosya anajua sheria za mikataba kuliko Wanasheria like prof kabudi hapo umepuyanga au pengine uwezo wako mdogo
Nimekupa mifan miwili mikubwa, mkataba wa matumizi ya maji ya Mto NIle na Mkataba wa Kyoto Protocol. Sasa zaidi ya hapo sijui unataka uthibitisho gani?

Waulize watu waliokuwa baraza la mawaziri la Mkapa watakuambia.
 
Ushabiki maandazi kabisa huu
 
Nimekupa mifan miwili mikubwa, mkataba wa matumizi ya maji ya Mto NIle na Mkataba wa Kyoto Protocol. Sasa zaidi ya hapo sijui unataka uthibitisho gani?

Waulize watu waliokuwa baraza la mawaziri la Mkapa watakuambia.
-atakuwa na yeye alishauriwa na profesa wa sheria, yeye ndio akaenda kwenye baraza la mawaziri kutoa hoja na sifa akapata yeye,
 
TETESI Upo wosia wa Hayati Magufuli 2025 mtaujuwa stay tune
 
Mapenzi yako kwa Mwandosya yanakufanya hadi unaingia chaka,Membe na JK hawana undugu wowote.
Nafurahi kuona Kikwete kwa mdomo wake mwenyewe, sio wako, amelikanusha hili hadharani, kwa kuwa anajua linasemwa sana
 
Nadhani sasa umefika wakati muafaka wa Samia kumteua Prof. Mwandosya kama waziri Mkuu, kama sio Makamu wa Raisi. Huenda Kikwete atapinga sana kwa sababu zake binafsi na sio maslahi ya taifa, lakini labda ni vema Samia asimsikilize katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…