Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

Chadema mlitoa sh ngapi kumnunua Lowassa?
 
Kingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?

Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana
Na kwanini wote wanao ondoka chadema wanakwenda ccm au wanakuwa marafiki wa ccm. Hapo ndio utajuwa shida sio mbowe shida ni ccm. Kama umeisha ona mtu mkubwa chadema akaenda NCCR, au UDP hapo ungejuwa wanasema kweli lakini kama wanakwenda ccm maana yake ni njaa zinawasumbuwa tu.
 
Mbogwe Kagoma kuingia kwenye mfumo wa Ccm, wanaodhani vyama vyote vitaweza kusambaratika kama ilivyotokea kwa Nccr, CUF na vyama vyote shikizi vya ccm, lkn kila wakitumia hela, wanashindwa, wamegundua Bikionere Mbogwe asiye nilikaa ndiye tishio kwa utawala wa ccm, sasa wanapambana kumtoa ili waliingilia chama wakiuwe
 
 

Attachments

  • VID-20240701-WA0000.mp4
    1.5 MB
  • VID-20240701-WA0013.mp4
    690.9 KB
Nimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,

Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?

Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora tuseme CCM ibaki madarakani milele kama Upinzani hata kujiongoza tu hamuwezi.
Nilishasema hakuja Upinzani Halisi Tanzania...na Hakuna Mwanasiasa Mzalendo isipokuwa wapo kimaslahi

Mpinzani Tanzania alikuwa Mch. Christopher Mtikila na Sengodo Mvungi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hata CCM imedumu Sana Tanzania na wananchi wenye akili tumeichoka
Chama kudumu sawa, hata ANC ina miaka zaidi ya 100 sasa lakini Demokrasia ni kupokezana uongozi

Mimi siko Kijani na sina chama cha siasa lakini nazungumza ukweli ili kuondoa Doughts kwa CHADEMA
 
Hata kama Mbowe asingekuwa Tatizo bado wangehama! Shida ni Njaa.
 
Yule mpenda beer baridi (nadhani safari lager) alipotimkia huko mliko hakutoa nenno? Au aliondoka akiwa Tilda Lila.?
 
Wala usipate taabu. Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.
Vyama visivyoongozwa na mbowe vimepiga hatua sana kwenye demokrasia mtu yeyote mwenye vigezo anagombea uongozi na kukabidhiwa akionekana anafaa bila ya kumuogopa mtu mmoja kana kwambs ni Saccoss yake.
 
Na ndio point watu wanayohoji. CHADEMA kama TAASISI imeshindwa kutengeneza mtu anayetosha kiti cha Mbowe??? Je ni kweli CHADEMA ni Taasisi imara yenye watu wenye weledi kama wanashindwa tu kupata mrithi wa Kiti??

Je Mbowe akifa (hatombei) au akihamia CCM???

Je kiti cha Mbowe hakihitaji mtu mwenye mawazo mapya jinsi ya kuendesha chama baada ya kushindwa kuitoa CCM madarakani kwa miaka 30??

Tofauti ya Mbowe, Lipumba, Cheyo n.k ni ipi?
 
Basi kama chama kipo na mtu makini mmoja hakifai kuongoza nchi maana mtataka mtu mmoja aongoze ikulu na wizara zote pamoja na taasisi zote akae peke yake nchi itaendelea vipi
 
Siku ukijua kuwa Mbowe ni sehemu ya Lumumba sijui itakuwaje??
 
Kama Mbowe ni mwenyekiti wa miaka mingi vipi John Cheyo atakuwa wa miaka mingapi?Inaonekana hapa ishu siyo muda mrefu wa uwenyekiti kwenye chama Cha siasa,bali ni Mbowe kuwa mhimili ndani ya Chadema na kusababisha kuwa chama kikuu cha upinzani hadi leo.Ingekuwa ishu ni muda mrefu wa uwenyekiti basi angezungumziwa John Cheyo. Jambo la kujiuliza ni kwanini Ccm huwa inapiga kelele juu ya uwenyekiti wa Mbowe?Ni kwanini wanaohama Chadema wanapewa nafasi ya cheo serkalini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…