Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Katiba inasemaje?Hili ni jambo ambalo linalindwa na katibaHuwezi kuwa mwenyekiti wa chama for 30yrs wenye akili wakakaa kimya kukuangalia tu. Ni wapumbavu tu watashangilia huu ujinga. Amekuwa Ayatollah?
Kazi kwelikweliOrodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka "
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA na kisha chama.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Waliingia Chadema kwa mkakati wa wa kukiua chama sasa baada ya kuona Mwamba umekuwa mgumu lazima warudi waliko toka wakiwa na sura za mtj alie jipaka mavi usoni na kulalamikia Mwamba. Yaani Mbowe ni mwamba wa siasa. Hata Ccm hawa lali kwa kupambana na ChademaOrodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka "
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA na kisha chama.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Mkapa = MboweFreeman Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa muda mrefu, jambo ambalo linaweza kuwa na madhara kadhaa, kama vile:
1. Kukosa Uvumbuzi na Mawazo Mapya:
- Uongozi wa muda mrefu wa kiongozi mmoja unaweza kuzuia kuingia kwa mawazo na mikakati mipya ndani ya chama. Hii inaweza kusababisha chama kuwa na mtazamo wa kizamani au kupoteza ubunifu katika kukabiliana na changamoto za kisiasa.
2. Migawanyiko ya Ndani ya Chama:
- Uongozi wa muda mrefu unaweza kusababisha kutokuwepo kwa fursa za uongozi kwa wanachama wapya au vijana, hali ambayo inaweza kusababisha migawanyiko au migogoro ya ndani, huku baadhi ya wanachama wakihisi kutengwa au kukosa nafasi za kuongoza.
3. Kufifisha Nguvu za Upinzani:
- Kwa kuwa kiongozi wa chama kwa muda mrefu, Mbowe anaweza kuwa amechoka kisiasa au kukosa msukumo wa kutosha wa kupambana na chama tawala (CCM). Hii inaweza kupunguza nguvu za upinzani na uwezo wa CHADEMA kuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania.
4. Kuonekana Kama Chama Kinachomtegemea Kiongozi Mmoja:
- Uwepo wa Mbowe kwa muda mrefu kama Mwenyekiti unaweza kufanya chama kuonekana kuwa kinamtegemea sana yeye, hali ambayo inaweza kuathiri taswira ya chama kuwa ni taasisi inayoweza kuendeshwa bila kiongozi mmoja maalum.
5. Kukosa Kuwavutia Vijana:
- Vijana wanaweza kuona chama kama kinachoendeshwa na kizazi kilichopita, na hivyo kukosa mvuto kwa wapiga kura vijana ambao ni muhimu kwa mustakabali wa chama chochote cha kisiasa.
6. Uaminifu Usio na Changamoto:
- Uongozi wa muda mrefu unaweza kusababisha utamaduni wa kutomchallange kiongozi ndani ya chama, jambo ambalo linaweza kupunguza uwajibikaji na kuzuia maamuzi mazuri.
7. Kuzuia Kukua kwa Uongozi wa Mbadala:
- Uwepo wa kiongozi mmoja kwa muda mrefu unaweza kuzuia au kupunguza nafasi kwa viongozi wapya kujifunza na kujitokeza ndani ya chama, hali inayoweza kudhoofisha uimara wa chama katika siku zijazo.
Mbona mimi nimeondoka CDM mwaka 2015 sababu kubwa ilikuwa Lowassa.Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka "
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA na kisha chama.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Ni masharti ambayo yako kwenye mkataba wa kununuliwa kwao .Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,

Wanapewa vyeo Kwakuwa wanauwezoKingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?
Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana