ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!
Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina mambo ya kikoloni, maneno mengi maneno sifuri!
Karibuni mnisaidie mbinu