Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Huko huko kwenye mtoko anataka awe na mtoto atatoka vipi.[emoji44] mwenyewe?Mkuu ODILI SAMALU hiki ni kipindi ambacho Mungu anakupigania kweli kweli, Mungu anakuepusha na matatizo laikini wewe kwa kutokufahamu unaona u mkosaji tu. Si kila mtongozo ni mwema kaka. Nakushauri tulia kwa sasa piga kazi na jipe raha mwenyewe tu. toka tembea nenda kwenye Big malls, tembea kwenye maduka makubwa jifunze bei za vitu mbali mbali siku moja moja beach, tembea tembea kuwa na furaha na ukifika kwenye mikusanyiko usiweke macho juu juu take your time relax!!, ipo siku utakuja kuniambia.