palangana
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 506
- 449
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya outing muulize "nasema utatoa hutoi??"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya outing muulize "nasema utatoa hutoi??"
Unatumia nini?Mbona Mimi situmii kauli lakini wanajileta tu kama vipepeo kny bulb?
haha! dy/dx hiooooTafuta mack x na million nikuoneshe ufundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti soda sh ngap hapa. Nimecheka sanaMzee baba kutongoza nako ni sanaa.
ushawishi mzee unahitajika... Kumvua chupy mtoto wa mwenzio si suala dogo aidha awe anajiuza.
remba maongezi, tabasamu, jali watoto...
kingine unaonekana mkoloni... nyie ndiyo wale jamaa kwenye outing ukifika unauliza bei ya soda kabla ya kukaa tena kwa sauti hadi wateja wengine wanaskia...huu ni ukoloni.
Hata sijui...ila wengi huja kama kupenda kupiga story Mara kujigusa nawe...au kukuangalia kwa mda mrefuuu....Mara heeee....inaelekea mkeo anafaidi sana...n.kUnatumia nini?
Mkuu hii coment nimeisoma kwa kuirudia ina maana kubwa sana mkuu naomba nisaidie hapo yaani mm nikitoka out macho juu natizama kila demu mkuu situlii najaribu kujizuia ila nashindwa inakuwajeMkuu ODILI SAMALU hiki ni kipindi ambacho Mungu anakupigania kweli kweli, Mungu anakuepusha na matatizo laikini wewe kwa kutokufahamu unaona u mkosaji tu. Si kila mtongozo ni mwema kaka. Nakushauri tulia kwa sasa piga kazi na jipe raha mwenyewe tu. toka tembea nenda kwenye Big malls, tembea kwenye maduka makubwa jifunze bei za vitu mbali mbali siku moja moja beach, tembea tembea kuwa na furaha na ukifika kwenye mikusanyiko usiweke macho juu juu take your time relax!!, ipo siku utakuja kuniambia.
Maneno matupu hayavunji mfupaUtaambiwa na wengi humu kuwa huna hela, but mi nakwambia ukweli kauli!
KAULI KAULI KAULI...mdomo uliponza kichwa!
duuh... kumbe kutongoza kuna strategy zake?Tatizo utakuwa unafululiza tu kutongoza tongoza never taking time to learn or change strategy.
Kuna uhusiano gani mkuu unampotosha tu watu kibao wanasikiliza jamaa nafikiri yupo select sana afu hana hela kikubwa atafute demu atayeendana kitabiaMleta mada pengine hupendwi kutokana na kusikiliza kwako fleva, mwanamke mwenye akili timamu hawezi toka na kijana mpenda bongo fleva. Jaribu kuacha kusikiliza fleva uone matokeo yake.
Kaa jitasmini huwenda ni kweli na sikweli then uwenda unamambo ya kizamani hutaki kushea au kufanya mambo fulani ambayo hatujui unajua ww. Au huna exposureWanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!
Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina mambo ya kikoloni, maneno mengi maneno sifuri!
Karibuni mnisaidie mbinu
Uza namba bossWewe kweli una vituko mimi najuta huu uzinzi jinsi ya kushinda wewe unajuta kukosa dhambi. Leo kuna demu nampigia nawaza ntamgegedea wapi juu sina hela ya Geste. Tunateseka jamani watoto wa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah noma sana ..mkuuMzee baba kutongoza nako ni sanaa.
ushawishi mzee unahitajika... Kumvua chupy mtoto wa mwenzio si suala dogo aidha awe anajiuza.
remba maongezi, tabasamu, jali watoto...
kingine unaonekana mkoloni... nyie ndiyo wale jamaa kwenye outing ukifika unauliza bei ya soda kabla ya kukaa tena kwa sauti hadi wateja wengine wanaskia...huu ni ukoloni.
Acha ukoloni mkuu bila shaka utakuwa na govii ndo maana wanakuchomoleaWanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!