Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Naye anataka apate mwenza wa kisasa na atoke sasa unataka atafute wakushinda ndani mkuu,
yeye aache huo ukoloni wake wakishamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na ukoloni pia ni tabia mbaya. Usilete uzee na ustarabu kwenye mapenzi
 
Hivi bado kumbe kuna watu wanatongoza wanawake!?
 
Ongeza juhudi katika utafutaji wako,ukiwa una pesa za kutosha huo ukoloni hawatouona,
 
Mzee baba kutongoza nako ni sanaa.

ushawishi mzee unahitajika... Kumvua chupy mtoto wa mwenzio si suala dogo aidha awe anajiuza.

remba maongezi, tabasamu, jali watoto...

kingine unaonekana mkoloni... nyie ndiyo wale jamaa kwenye outing ukifika unauliza bei ya soda kabla ya kukaa tena kwa sauti hadi wateja wengine wanaskia...huu ni ukoloni.
Buhahahahha,JF raha sana dadeki..
 
Mkuu ODILI SAMALU hiki ni kipindi ambacho Mungu anakupigania kweli kweli, Mungu anakuepusha na matatizo laikini wewe kwa kutokufahamu unaona u mkosaji tu. Si kila mtongozo ni mwema kaka. Nakushauri tulia kwa sasa piga kazi na jipe raha mwenyewe tu. toka tembea nenda kwenye Big malls, tembea kwenye maduka makubwa jifunze bei za vitu mbali mbali siku moja moja beach, tembea tembea kuwa na furaha na ukifika kwenye mikusanyiko usiweke macho juu juu take your time relax!!, ipo siku utakuja kuniambia.
 
Utaambiwa na wengi humu kuwa huna hela, but mi nakwambia ukweli kauli!

KAULI KAULI KAULI...mdomo uliponza kichwa!
Mbona Mimi situmii kauli lakini wanajileta tu kama vipepeo kny bulb?
 
Ubahili wako akutake nañi? Kufa na genye zako.
luckyline baana...yaani kama hiyo avatar in yako basi nshajua udhaifu wako na ningejua nitakakokupata hakika ningekuvuruga akili hadi suala la mkwanja ungesahau. Pia usingechukua round.
 
Wana Bodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na Changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!, KILA nikiandaa Outing na mabinti wengi wananikimbia na kwa wabaokubali Outing huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia, nimewahi kusiKia MABINTI HAWANITAKI ETI NINA MAMBO YA KIKOLONI, MANENO MENGI VITENDO SIFURI

KARIBUNI Mnisaidie Mbinu
Siku unatongoza toa walet chomoa hapo 10000 nunua vocha yote akuone alafu endelea kutongoza
 
Kipande cha ushauri nakupa jifunze kutowaambia ukweli kwa kifupi wadanganye utawapata
 
Acha kutongoza tafuta fedha,ukishapata fedha jenga nyumba kali,nunua ndinga kali kisha Let your car,Let your house talk for you.
 
Back
Top Bottom