Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Kuwa romantic sio unaita date unaongea wewe mwanzo mwisho pili unaongelea ex zako huko na amri unataka hivi na vile hapana unabidi maongezi yaende na flow msikilize mwenzio anapenda nini ( aina ya music, movie, chakula, outing) ana malengo gani miaka ijayo ( kuajiriwa au kujiajiri) ana hobby gani sio unaleta mambo ya siasa CCM na CDM sijui ukawa mara lisu mara magufuli mwingine anaongelea timu mond na timu kiba hizo mambo acha
 
tafuta gari ya mshikaji halafu ingia nayo mtaani kwao kila baada ya dakika kumi halafu honi za kutosha...kama ni kamwanachuo utasikia baby I love yuu....jaribu hiyo halafu piga pamba za casual usije ukawa unapendeza kulikoni demu
 
Kwa ulivyo andika tu ina onesha ujiamini. una kariri una tongoza kwa kusikia kwa watu afu ni mkweli sana dem atongozewi ukweli ana itaji uwongo kama wote ukivunga mkweli upati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu it seems uongo wako unazidi budget yako
 
Kuna uhusiano gani mkuu unampotosha tu watu kibao wanasikiliza jamaa nafikiri yupo select sana afu hana hela kikubwa atafute demu atayeendana kitabia

Najuwa wanawake wengi wanaojitambua hawapendi vijana wa kibongo fleva, watakucheka tu na kuona mpuuzi alosto. Only mademu wasiojitambua ndiyo wanawachezea akili vijana wa kibongo fleva.
 
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!

Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina mambo ya kikoloni, maneno mengi maneno sifuri!

Karibuni mnisaidie mbinu

Pesa ndo kila kitu bro acha kulialia
 
Najuwa wanawake wengi wanaojitambua hawapendi vijana wa kibongo fleva, watakucheka tu na kuona mpuuzi alosto. Only mademu wasiojitambua ndiyo wanawachezea akili vijana wa kibongo fleva.
Naomba tukubaliane jamaa hana hela nachojua mimi kipendacho kwa sasa na wanawake wazuri ni hela ukipata anaetanguliza utu ni kama bahati jamaa anaomba outing afu atumi pesa ya taxi ndo mana anaambiwa mkoloni
 
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!

Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina mambo ya kikoloni, maneno mengi maneno sifuri!

Karibuni mnisaidie mbinu
NAJITOLEA kukusaidia kiushauri....

kwanza.. upo MKOA gani?
 
Back
Top Bottom