Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

Mzee baba kutongoza nako ni sanaa.

ushawishi mzee unahitajika... Kumvua chupy mtoto wa mwenzio si suala dogo aidha awe anajiuza.

remba maongezi, tabasamu, jali watoto...

kingine unaonekana mkoloni... nyie ndiyo wale jamaa kwenye outing ukifika unauliza bei ya soda kabla ya kukaa tena kwa sauti hadi wateja wengine wanaskia...huu ni ukoloni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti soda sh ngap hapa. Nimecheka sana
 
Unatumia nini?
Hata sijui...ila wengi huja kama kupenda kupiga story Mara kujigusa nawe...au kukuangalia kwa mda mrefuuu....Mara heeee....inaelekea mkeo anafaidi sana...n.k
 
Acha uzembe mkuu cheza kama Ronaldo piga miwaaa(mashuti ya mbali/nje ya box
 
Mkuu ODILI SAMALU hiki ni kipindi ambacho Mungu anakupigania kweli kweli, Mungu anakuepusha na matatizo laikini wewe kwa kutokufahamu unaona u mkosaji tu. Si kila mtongozo ni mwema kaka. Nakushauri tulia kwa sasa piga kazi na jipe raha mwenyewe tu. toka tembea nenda kwenye Big malls, tembea kwenye maduka makubwa jifunze bei za vitu mbali mbali siku moja moja beach, tembea tembea kuwa na furaha na ukifika kwenye mikusanyiko usiweke macho juu juu take your time relax!!, ipo siku utakuja kuniambia.
Mkuu hii coment nimeisoma kwa kuirudia ina maana kubwa sana mkuu naomba nisaidie hapo yaani mm nikitoka out macho juu natizama kila demu mkuu situlii najaribu kujizuia ila nashindwa inakuwaje
 
Mleta mada pengine hupendwi kutokana na kusikiliza kwako fleva, mwanamke mwenye akili timamu hawezi toka na kijana mpenda bongo fleva. Jaribu kuacha kusikiliza fleva uone matokeo yake.
 
Wewe kweli una vituko mimi najuta huu uzinzi jinsi ya kushinda wewe unajuta kukosa dhambi. Leo kuna demu nampigia nawaza ntamgegedea wapi juu sina hela ya Geste. Tunateseka jamani watoto wa watu
 
Wewe ni yule yule wa kukataliwa kwa sababu unatumia mbinu ile ile ya outing Ukitaka kuwa wa tofauti ni lazma ubadili mbinu ziwe za tofaut
 
Tatizo utakuwa unafululiza tu kutongoza tongoza never taking time to learn or change strategy.
duuh... kumbe kutongoza kuna strategy zake?

aisee, nyie mabinti wa kitanzania mbona mnafanya maisha ya mahusiano yawe magumu hivyo?
 
Mleta mada pengine hupendwi kutokana na kusikiliza kwako fleva, mwanamke mwenye akili timamu hawezi toka na kijana mpenda bongo fleva. Jaribu kuacha kusikiliza fleva uone matokeo yake.
Kuna uhusiano gani mkuu unampotosha tu watu kibao wanasikiliza jamaa nafikiri yupo select sana afu hana hela kikubwa atafute demu atayeendana kitabia
 
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!

Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina mambo ya kikoloni, maneno mengi maneno sifuri!

Karibuni mnisaidie mbinu
Kaa jitasmini huwenda ni kweli na sikweli then uwenda unamambo ya kizamani hutaki kushea au kufanya mambo fulani ambayo hatujui unajua ww. Au huna exposure
 
Wewe kweli una vituko mimi najuta huu uzinzi jinsi ya kushinda wewe unajuta kukosa dhambi. Leo kuna demu nampigia nawaza ntamgegedea wapi juu sina hela ya Geste. Tunateseka jamani watoto wa watu
Uza namba boss
 
Mzee baba kutongoza nako ni sanaa.

ushawishi mzee unahitajika... Kumvua chupy mtoto wa mwenzio si suala dogo aidha awe anajiuza.

remba maongezi, tabasamu, jali watoto...

kingine unaonekana mkoloni... nyie ndiyo wale jamaa kwenye outing ukifika unauliza bei ya soda kabla ya kukaa tena kwa sauti hadi wateja wengine wanaskia...huu ni ukoloni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah noma sana ..mkuu
 
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!

Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina mambo ya kikoloni, maneno mengi maneno sifuri!

Karibuni mnisaidie mbinu
Acha ukoloni mkuu bila shaka utakuwa na govii ndo maana wanakuchomolea
 
Back
Top Bottom